Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
kunusuru asipotee Kwenye game. Anapaswa kubadili mfanyakazi, au akae mwenyeweKuna wakati mwingine tunaona biashara inalipa kabisa ila huioni hiyo hela unayoitegemea
Kama biashara ni ya kumuachia mtu akufanyie hata uchunge vipi kama anataka kupiga anakupiga tu
Unaweza kukuta wateja wengi ila mauzo madogo upande wako kumbe na muuzaji ana biashara yake humo humo akiuza bidhaa zake hizo hizo kama zako
Mwisho wa siku bidhaa zako anauza na zake pia
Sio wote wanaofanya hivi ila wapo wanaofanya hivyo kwenye biashara za watu
Usife moyo bado unafanya vizuri kwa mtaji huo ila angalia mianya yote
Kabisa[emoji106]Ni kwel mkuu...madin matupu..aisee kipind naanza anza vijana wa kaz waliniumiza sana..nilikua na huruma sana..ila badae nikaja gundua ni washe.nzi kulikoo..yaan mim nilivyokua nawa treat kama ndugu kumbe wa.senge walikua wananilia timing tuu...aisee sasa hiv nmekua katil had najiogopa..yaan mim ku fire [emoji91] mtu in a second sion shida kabisa...tena aka.nye mav.i mbele huko
Nakazia[emoji106]Nasema kwa uzoefu na ndio ukweli,
Mauajiriwa Ukitaka kufanya biashara serious acha ajira ingia kwenye biashara Kwa miguu yote miwili.
Hizi biashara waajiriwa wanazofungua Na kuweka vijana wa kazi haziwezi kamwe kukutoa
KiBiashara ukiwa mtu wa matumizi Sana, kupoteza Kwenye game ni dkk sifuri.wewe ni mpare au maana hata zako nao bahili ila hawajafika huku
Anapaswa kubadili mfanyakazi, au akae mwenyewe
Nasema kwa uzoefu na ndio ukweli,
Mauajiriwa Ukitaka kufanya biashara serious acha ajira ingia kwenye biashara Kwa miguu yote miwili.
Hizi biashara waajiriwa wanazofungua Na kuweka vijana wa kazi haziwezi kamwe kukutoa
Nakuuzia 6M kwa siku halafu unanipa 80K kwa mwezi?Mfanyakazi wa sheli mwenye mauzo ya million 6 kwa sikU (double ya mtaji wako),
Analipwa elfu 80 kwa mwezi, na posho ya elfu 5 kwa siku
Wewe mwenye mtaji wa million 3,
Unajitutumua unamlipa mshahara wa 100,000.
Mkuu nikwambie TU ukweli,
Ukishaingia Kwenye ujasiliamali lazima ujue kua bahili na usiwe na roho ya huruma kijinga jinga.
Unapaswa kulipa kutokana na unachoingiza, na Sio kuangalia sura Wala Roho mtakatifu.
Kwenye biashara hizi za kibepari,
Ukijifanya msamalia mwema, Unapotea Kwenye GAME faster.
Kaulizie mishahara anayolipa MO-Dewji kwenye biashara zake, afu utanipa majibu.
Tatizo Sio mtaji.Boss tunatofautiana mitaji nadhani, 🙂 🙂
Haiwezi kusaidia,Ni mfanyakazi sehemu kwa hiyo hawezi kukaa mwenyewe
Ni kuangalia bidhaa zake kwa kuzihesabu na kushtukiza mara kwa mara kwa kufanya stock take
Hahahha.mama.e ...model zako si mchezo..kwamba mwana aoe apate cheap labor..nmekubaliiiiii...hyo nayo ni technique aisee...noma sanaMtoa mada nakushauri Jambo moja.
Kwenye iyo biashara yako,
Ondoa uyo mfanyakazi.
Weka mkeo,
Kama ujaoa ,oa haraka ili ujipatie cheap labor kwa msimamizi mzuri kabisa wa biashara yako.
NB: ndugu nao sikuhizi Ni magumashi. Niulize kwanini
Haiwezi kusaidia,
Biashara aweke mkewe au Kama hajaoa aoe MKE ajipatie CHEAP LABOUR mwenye uchungu na biashara.
Hizi biashara changa za kuweka watu baki, ata usimamie vipi Ni ngumu Sana kutoboa.
Na hata ukitoboa, itakua Ni mbinde Sana kusurvive.
Mkeo huwez kumlipa mshahara,Hahahha.mama.e ...model zako si mchezo..kwamba mwana aoe apate cheap labor..nmekubaliiiiii...hyo nayo ni technique aisee...noma sana
Huu ndo ukweli lazima ajira uiweke pembeni uingie mzma mzma kwenye biashara. . hz habari za kusema et unaongeza kipato Kwa kufungua biashara huku unafanya kazi. .utaishia kunufaisha watuNasema kwa uzoefu na ndio ukweli,
Mauajiriwa Ukitaka kufanya biashara serious acha ajira ingia kwenye biashara Kwa miguu yote miwili.
Hizi biashara waajiriwa wanazofungua Na kuweka vijana wa kazi haziwezi kamwe kukutoa
Nakubali mkuuKabisa[emoji106]
Biashara Haina undugu, biashara Haina dini Wala kujuana.
Biashara ukiiendesha kijamaa lazima ufeli.
Biashara inatakiwa kuendesha kibepari, na ubepari lazima uendane na unyonyaji, ukatili na roho ngumu kiasi chake.
Ndugu wanachangamoto ganMtoa mada nakushauri Jambo moja.
Kwenye iyo biashara yako,
Ondoa uyo mfanyakazi.
Weka mkeo,
Kama ujaoa ,oa haraka ili ujipatie cheap labor kwa msimamizi mzuri kabisa wa biashara yako.
NB: ndugu nao sikuhizi Ni magumashi. Niulize kwanini