Ninakupongeza sana Professa Janabi kwa maelezo yako wakati wa usaili

Ninakupongeza sana Professa Janabi kwa maelezo yako wakati wa usaili

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
1,289
Reaction score
2,199
Nimemsikiliza Prof. Janabi katika maneno yake ya utangulizi(introductory remarks ) wakati wa usaili wake mbele ya jopo.

Hongera sana Prof. Janabi. Umejieleza vizuri sana na hata maswali uliyoulizwa umejitahidi sana. Nimshukuru Mhe. Rais kwa mapendekezo yake kwa Prof. Janabi kugombea nafasi hii. Ameitendea Tanzania haki yake. Tumpe Prof. Janabi maua yake.
 
Rais Samia hajawahi kukosea . Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe aliyeinuliwa kwa mkono wa Mungu na mwenye kibali cha Mungu na mwenye kujaliwa na kupendelewa na ufahamu na maarifa kutoka kwa Mungu Mwenyewe.

Mama ni chaguo la Mungu mwenyewe na mwenye baraka zote za Mungu
 
Ila afya yake mgogoro kwa anavyonekana kapauka.

WHO inatakiwa kupima afya za candidates wao kuwachuja kabla kupeleka majina wapigiwe kura

Kama Candidates wangepimwa afya kabla hata mgombea wetu yule Ndugulile akiyepitishwa asingepitishwa list ya wagombea

Huyu Janabi apimwe afya kwanza kabla jina kupelekwa lipigiwe kura

CV iko sawa ,ila afya apimwe kwanza
 
Nimemsikiliza Prof. Janabi katika maneno yake ya utangulizi(introductory remarks ) wakati wa usaili wake mbele ya jopo. Hongera sana Prof. Janabi. Umejieleza vizuri sana na hata maswali uliyoulizwa umejitahidi sana. Nimshukuru Mhe. Rais kwa mapendekezo yake kwa Prof. Janabi kugombea nafasi hii. Ameitendea Tanzania haki yake. Tumpe Prof. Janabi maua yake.
Unasema umemsikiliza kwa makini sana na amejieleza vizuri sana, LAkini umeshindwa kupata hata machache kwa muhtasari aliyoongea ukayaandika hapa.

Nina shaka sana kama umeelewa kitu
 
Yupo vizuri Daktari, shida Kuna watu wanamtumia kupaisha maslahi na ajenda zao za kisiasa
 
Angekuwa diamond hapo mngetoa kira kasolo na reference juu...........tuwekeeni ushahidi tukague tense kama alipangilia vizuri ..............kama jinsi anavyopangilia ubwabwa na soda hauendi au chips na soda sumu...............
 
  • Thanks
Reactions: jme
Nimemsikiliza Prof. Janabi katika maneno yake ya utangulizi(introductory remarks ) wakati wa usaili wake mbele ya jopo.

Hongera sana Prof. Janabi. Umejieleza vizuri sana na hata maswali uliyoulizwa umejitahidi sana. Nimshukuru Mhe. Rais kwa mapendekezo yake kwa Prof. Janabi kugombea nafasi hii. Ameitendea Tanzania haki yake. Tumpe Prof. Janabi maua yake.
Acha nisiitwe mzalendo

Lkn huyu ndugu ,ambaye kodi zetu zinatumika kumnadii .

Mungu wangu ni mwamminifuu

Nakesha asishindeee

Potelea potee

Hakuna mtoto wa mgongoni na tumbonii.

Mungu atatoa fimbo moja subiri tuu
 
Back
Top Bottom