SijakuelewaRais Samia hajawahi kukosea . Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe aliyeinuliwa kwa mkono wa Mungu na mwenye kibali cha Mungu na mwenye kujaliwa na kupendelewa na ufahamu na maarifa kutoka kwa Mungu Mwenyewe.
Mama ni chaguo la Mungu mwenyewe na mwenye baraka zote za Mungu
Chawa Hata Siku Moja Hajawahi ElewekaSijakuelewa
Na hutokaa umuelewe huyo jamaa wewe mchukulie tu kama kichaa aliyekata kamba.Sijakuelewa
Zile Agenda Zake Zitaenezwa Bara Lote La Africahuyu akishinda tutakuwa tunakula mlo mmoja tutakonda maji tuite mma..🤣
Unasema umemsikiliza kwa makini sana na amejieleza vizuri sana, LAkini umeshindwa kupata hata machache kwa muhtasari aliyoongea ukayaandika hapa.Nimemsikiliza Prof. Janabi katika maneno yake ya utangulizi(introductory remarks ) wakati wa usaili wake mbele ya jopo. Hongera sana Prof. Janabi. Umejieleza vizuri sana na hata maswali uliyoulizwa umejitahidi sana. Nimshukuru Mhe. Rais kwa mapendekezo yake kwa Prof. Janabi kugombea nafasi hii. Ameitendea Tanzania haki yake. Tumpe Prof. Janabi maua yake.
acha wajichanganye!Zile Agenda Zake Zitaenezwa Bara Lote La Africa
Majani Ya Chai Bila Sukari
Hakuna Tena Kula Ugali
Safi kabisaZile Agenda Zake Zitaenezwa Bara Lote La Africa
Majani Ya Chai Bila Sukari
Hakuna Tena Kula Ugali
Acha nisiitwe mzalendoNimemsikiliza Prof. Janabi katika maneno yake ya utangulizi(introductory remarks ) wakati wa usaili wake mbele ya jopo.
Hongera sana Prof. Janabi. Umejieleza vizuri sana na hata maswali uliyoulizwa umejitahidi sana. Nimshukuru Mhe. Rais kwa mapendekezo yake kwa Prof. Janabi kugombea nafasi hii. Ameitendea Tanzania haki yake. Tumpe Prof. Janabi maua yake.