House of Commons JF-Expert Member Joined Oct 1, 2013 Posts 2,179 Reaction score 2,177 Oct 1, 2013 #1 Shikamoni wakubwa, wadogo zangu marahaba...Nimechoka kuchungulia madirishani, leo nimeona niingie baada ya kugundua hapa ni nyumbani. Awali niliona Mwanahalisi limefungiwa...Mwananchi na Mtanzania nao ndio hivo...au na hapa serikali itafunga?....
Shikamoni wakubwa, wadogo zangu marahaba...Nimechoka kuchungulia madirishani, leo nimeona niingie baada ya kugundua hapa ni nyumbani. Awali niliona Mwanahalisi limefungiwa...Mwananchi na Mtanzania nao ndio hivo...au na hapa serikali itafunga?....
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 16,908 Reaction score 19,123 Oct 1, 2013 #2 Karibu sana mkuu!
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 8,659 Reaction score 2,227 Oct 2, 2013 #3 Karibu JF.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Oct 2, 2013 #4 Karibu sana JF
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Oct 2, 2013 #5 Karibu sana JF.