House of Commons
JF-Expert Member
- Oct 1, 2013
- 2,179
- 2,177
Shikamoni wakubwa, wadogo zangu marahaba...Nimechoka kuchungulia madirishani, leo nimeona niingie baada ya kugundua hapa ni nyumbani. Awali niliona Mwanahalisi limefungiwa...Mwananchi na Mtanzania nao ndio hivo...au na hapa serikali itafunga?....