Acha ushabiki maandazi, nilikuwa nakuheshimu kumbe na ww ni fala Kama mafala wengine tu.
Kwani nani amemchukua, tatizo kusoma unajua ila kuelewa ndio shida hamna aliesema anamchukuaTuachieni ZERO wetu
Jazba za kujenga vyoo vya kisasa kwenye shule zote na kugawa computer kila shule hizo ndio tunazozitakaNimerudi, tatizo la wa Tanzania wengi ikiwa pamoja na viongozi wake hawataki kupokea ukweli, nimesema na nitaendelea kusema sugu ni zero Kama msukuma na tulia wote wanajaziba na kujifanya wajuaji Kama magufuli.....
Hauna akili na adabu, hujafunzwa, in short wewe ni mjinga, mpumbavu na huna akili! Hongera ww mwenye faida kwa taifa.Nani alikwambia nahitaji heshima ya zwazwa? Peleka upuuzi wako kwa wapuuzi wenzio. Wapumbavu kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Taifa.
Mimi ndio nipo mbeya na karibia kila Siku tunatembelea shule za mbeya jiji sio kusikia mitandaoni, mpuuzi Mpuuzi tu.Jazba za kujenga vyoo vya kisasa kwenye shule zote na kugawa computer kila shule hizo ndio tunazozitaka
mbona matusi mkuu umepapaswa niniAcha ushabiki maandazi, nilikuwa nakuheshimu kumbe na ww ni fala Kama mafala wengine tu.
punguza jazba za mapovu mengi hazitakusaidia chochoteHauna akili na adabu, hujafunzwa, in short wewe ni mjinga, mpumbavu na huna akili! Hongera ww mwenye faida kwa taifa.
Wewe umeguswambona matusi mkuu umepapaswa nini
punguza jazba za mapovu mengi hazitakusaidia chochote
Nyie ndio mnaoendesha maisha kwa mambo mitandaoni uhalisia hamuufahamu....Sugu alikupigia nini maana syo kwa povu hili
Ova
Sasa wewe kuhusu sugu utaniambia nnNyie ndio mnaoendesha maisha kwa mambo mitandaoni uhalisia hamuufahamu....
Endelea kuwa social media monster.
Mie hayo ya kumjua sugu tangu Enzi gani hayanihusu, ninacho taka kukwambia ni kwamba sugu ni zero, ni empty set na maneno yangu sio sheria Siku lazimishi ukubaliane na mimi, kila mtu anauhuru wake wa kutoa maoni Kama umeona kwako ni genius au sugu yupo intelligent sana ni mawazo yako pia, lastly not least msiwe mnahadaika kwa kuhadithiwa tembeeni muone na kila mtu aamini anacho amini.Sasa wewe kuhusu sugu utaniambia nn
Kama kumjua tunamjua tokea hajaingia kwenye siasa
Sugu namjua tokea album ya yake ya kwanza kauza na kapata laki moja
Sugu ni hustler kutoka 0 to hero
Wewe kama unaona elimu yake inakupa tabu nenda wee mwnyekiti madegree kagombee nafasi yake mbeya
Ova
Acha uchocheziView attachment 1085690
Ikiwa leo ni Mei Mosi , wananchi wa Mbeya wamebahatika kuwa na Sherehe mbili kubwa , moja ni siku ya Wafanyakazi Duniani na nyingine ni siku ya kuzaliwa Mbunge wao , mtu pekee aliyefanikiwa kukata minyororo ya utumwa waliyofungwa wananchi wa Mbeya kwa miaka mingi mno .
Amefanikisha kurejesha halmashauri mikononi mwa wananchi wenyewe.
Mungu aendelee kumlinda .
Hauna akili na adabu, hujafunzwa, in short wewe ni mjinga, mpumbavu na huna akili! Hongera ww mwenye faida kwa taifa.
Kama wewe wazazi wako ni ng'ombe basi sio wapumbavu Kama na wewe una babaako na mamaako basi ndio wapumbavu the same as you told me....Kwa sababu babaako na mamaako ni wapumbavu usidhani kila mtu ni mpumbavu. Wewe kumtusi Sugu ndicho ulichofunzwa na hao wapumbavu.
Eee bhana eeee !!!Acha uchochezi
Kama wewe wazazi wako ni ng'ombe basi sio wapumbavu Kama na wewe una babaako na mamaako basi ndio wapumbavu the same as you told me....
Kusema sugu ni zero ni tusi? Ndio maana CAG anawaambia dhaifu mnalamika mnadhani ni tusi....
Umalaika hautawafikisha mahali popote nyie makafiri.
Aiseee mie Zero IQ nimeingiaje hapa mkuuKama si tusi kawaambie babaako na mamaako nyie wote ni ZERO halafu ndiyo akili yako ya kizwazwa itajua kama ni tusi au la.
ZERO IQ kumbe hata hujui kama mimi naunga mkono kwamba Bunge ni DHAIFU!
Ukafiri na mie wapi na wapi! Kwa sababu babaako na mamaako ni makafiri usidhani ni kila mtu pimbi wewe!
Lakini ni mbunge zero kichwani Kama msukuma na tulia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu, wanaume tunapojadili vitu ni vyema kina mama mkaenda jikoni kutuandalia chakula.