Ninakutakia Birthday njema Mh Sugu " Rais " wa Mbeya , Mungu akupe maisha marefu

Nani alikwambia nahitaji heshima ya zwazwa? Peleka upuuzi wako kwa wapuuzi wenzio. Wapumbavu kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Taifa.

Acha ushabiki maandazi, nilikuwa nakuheshimu kumbe na ww ni fala Kama mafala wengine tu.
 
Nimerudi, tatizo la wa Tanzania wengi ikiwa pamoja na viongozi wake hawataki kupokea ukweli, nimesema na nitaendelea kusema sugu ni zero Kama msukuma na tulia wote wanajaziba na kujifanya wajuaji Kama magufuli.....
Jazba za kujenga vyoo vya kisasa kwenye shule zote na kugawa computer kila shule hizo ndio tunazozitaka
 
Nani alikwambia nahitaji heshima ya zwazwa? Peleka upuuzi wako kwa wapuuzi wenzio. Wapumbavu kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Taifa.
Hauna akili na adabu, hujafunzwa, in short wewe ni mjinga, mpumbavu na huna akili! Hongera ww mwenye faida kwa taifa.
 
Jazba za kujenga vyoo vya kisasa kwenye shule zote na kugawa computer kila shule hizo ndio tunazozitaka
Mimi ndio nipo mbeya na karibia kila Siku tunatembelea shule za mbeya jiji sio kusikia mitandaoni, mpuuzi Mpuuzi tu.
 
Hauna akili na adabu, hujafunzwa, in short wewe ni mjinga, mpumbavu na huna akili! Hongera ww mwenye faida kwa taifa.
punguza jazba za mapovu mengi hazitakusaidia chochote
 
Nyie ndio mnaoendesha maisha kwa mambo mitandaoni uhalisia hamuufahamu....

Endelea kuwa social media monster.
Sasa wewe kuhusu sugu utaniambia nn
Kama kumjua tunamjua tokea hajaingia kwenye siasa
Sugu namjua tokea album ya yake ya kwanza kauza na kapata laki moja
Sugu ni hustler kutoka 0 to hero
Wewe kama unaona elimu yake inakupa tabu nenda wee mwnyekiti madegree kagombee nafasi yake mbeya

Ova
 
Mie hayo ya kumjua sugu tangu Enzi gani hayanihusu, ninacho taka kukwambia ni kwamba sugu ni zero, ni empty set na maneno yangu sio sheria Siku lazimishi ukubaliane na mimi, kila mtu anauhuru wake wa kutoa maoni Kama umeona kwako ni genius au sugu yupo intelligent sana ni mawazo yako pia, lastly not least msiwe mnahadaika kwa kuhadithiwa tembeeni muone na kila mtu aamini anacho amini.
 
View attachment 1085690

Ikiwa leo ni Mei Mosi , wananchi wa Mbeya wamebahatika kuwa na Sherehe mbili kubwa , moja ni siku ya Wafanyakazi Duniani na nyingine ni siku ya kuzaliwa Mbunge wao , mtu pekee aliyefanikiwa kukata minyororo ya utumwa waliyofungwa wananchi wa Mbeya kwa miaka mingi mno .

Amefanikisha kurejesha halmashauri mikononi mwa wananchi wenyewe.

Mungu aendelee kumlinda .
Acha uchochezi
 
Kwa sababu babaako na mamaako ni wapumbavu usidhani kila mtu ni mpumbavu. Wewe kumtusi Sugu ndicho ulichofunzwa na hao wapumbavu.

Hauna akili na adabu, hujafunzwa, in short wewe ni mjinga, mpumbavu na huna akili! Hongera ww mwenye faida kwa taifa.
 
Kwa sababu babaako na mamaako ni wapumbavu usidhani kila mtu ni mpumbavu. Wewe kumtusi Sugu ndicho ulichofunzwa na hao wapumbavu.
Kama wewe wazazi wako ni ng'ombe basi sio wapumbavu Kama na wewe una babaako na mamaako basi ndio wapumbavu the same as you told me....

Kusema sugu ni zero ni tusi? Ndio maana CAG anawaambia dhaifu mnalamika mnadhani ni tusi....

Umalaika hautawafikisha mahali popote nyie makafiri.
 
Kama si tusi kawaambie babaako na mamaako nyie wote ni ZERO halafu ndiyo akili yako ya kizwazwa itajua kama ni tusi au la.

ZERO IQ kumbe hata hujui kama mimi naunga mkono kwamba Bunge ni DHAIFU!

Ukafiri na mie wapi na wapi! Kwa sababu babaako na mamaako ni makafiri usidhani ni kila mtu pimbi wewe!

Aiseee mie Zero IQ nimeingiaje hapa mkuu
 
Back
Top Bottom