Ninalaani ukatili aliofanyiwa mtoto wa Dodoma, Wazazi wote tutoke na somo

Ninalaani ukatili aliofanyiwa mtoto wa Dodoma, Wazazi wote tutoke na somo

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
1,148
Reaction score
2,815
Ninalaani sana ukatili aliofanyiwa mtoto wa Dodoma, Jambo la kujifunza wazazi wekeni umakini kwa wasaidizi wenu majumbani.

Soma Pia: Utata wa kifo cha mtoto wa kufikia wa Chief Godlove, inakuwaje apandishwe bodaboda peke yake?

Na pia kwa wadada ukiamua kupata mtoto / watoto ambao bado wako katika hatua za uangalizi acheni mambo ya starehe kujirusha , tenga muda wako katika kulea na kumlinda mtoto kwa umakini
Ulishawahai kulaani pia kupotea kwa kina Soka na wenzake? Kifo cha Ali Kibao?
 
Ni ukatili mkubwa.
Mtoto alikuwa anajilea mwenyewe masikini.
Hapo mzazi anarudi asubuhi amepombeka kweli atamkumbuka mtoto ?

Mtoto malaika alijiona akiuliwa 😭😭😭

Mungu lipa kisasi mwenyewe, tena usichelewe Bwana. 🙏🙏
 
So sad , nahisi pia Imani za kishirikina zinahusika
 
Back
Top Bottom