Ninalaani ukatili aliofanyiwa mtoto wa Dodoma, Wazazi wote tutoke na somo

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
1,148
Reaction score
2,815
Ulishawahai kulaani pia kupotea kwa kina Soka na wenzake? Kifo cha Ali Kibao?
 
Ni ukatili mkubwa.
Mtoto alikuwa anajilea mwenyewe masikini.
Hapo mzazi anarudi asubuhi amepombeka kweli atamkumbuka mtoto ?

Mtoto malaika alijiona akiuliwa 😭😭😭

Mungu lipa kisasi mwenyewe, tena usichelewe Bwana. πŸ™πŸ™
 
So sad , nahisi pia Imani za kishirikina zinahusika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…