Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 2,311
- 4,689
Ileje ndiko nilikozaliwa na ndio Jimbo pekee la uchaguzi Tanzania ambalo asilimia 70 ya watanzania hawalijui kabisa ,nimejaribu kukaa na watu tofauti tofauti ukizungumzia wilaya ya ileje wengi hawajui kama lipo Tanzania.
Ileje haijwahi kuwa chini upinzani na upinzani haujawahi kuwa na nguvu ileje,ni sehemu yenye vivutio vingi vya utalii na ina border ambayo kwa makusudi TU ccm haijaipa kipaumbele kabisa, boda ya isongole ingesaidia sana kupunguza msongamano Tunduma.
Mimi nimeamua kupambana na kuhakikisha ccm inasahaulika kabisa kwa kupitia chama Bora kabisa chauma na sera kabambe ya ubwabwa kasekenya atafute KAZI ya kufanya