Ninamiliki kituo Cha mafuta, mshindani wangu anauza Sana kuliko mimi. Nini nikifanye kuongeza mauzo na wateja

...Shida moja kubwa Ni kwamba unaowaomba ushauri humu wengi wao hata biasharaa za million 9 wanazisoma kwenye threads. Wewe mwenyewe na wasiwasi kama una kituo cha mafuta kweli.. naona mengi kwenye game hujayajua"
Joke tu😊
Umemwambia ukweli mtupu,petrol statipn ni biashara ya mamilioni then anaomba ushauri kwetu wamachinga
 
Wabongo wanapenda rahisi , shusha Bei kidogo chini ya wahasimu wako.Pia weka camera ili ufuatilie tabia za wahudumu na biashara
 
mkuu anza na wafanyakazi wako,
1.ikiwezekana wabadilishe kabisa wote, kauli ina nafasi kubwa sana katika biashara, huenda moja wao ana kauli za hovyo sana kwa wateja.2.Wape watu kadi kila anapoweka mafuta anajaza, baada ya mwezi unampiga na bonasi, 2.Re-check pump accuracy
3.Ongeza ubunifu wako, kama kutangaza biashara yako (muhimu), na walizotaja wadau hapo.
4. usisahau kumwomba na kumshukuru Mungu
 
Sasa mkuu sisi madereva tutakula wapi?
Kusema kweli hata mimi nikiwa na gari ya ofisi huwa nanunua receipt naweka mafuta kiasi nyingine naweka mfukoni na kumpoza pump attendant.
 
...Shida moja kubwa Ni kwamba unaowaomba ushauri humu wengi wao hata biasharaa za million 9 wanazisoma kwenye threads. Wewe mwenyewe na wasiwasi kama una kituo cha mafuta kweli.. naona mengi kwenye game hujayajua"
Joke tu[emoji4]
Watu wana maushauri na mawazo mazuri ya kibiashara kuliko hata wewe unaejidharau ila wamekosa mtaji tu, mawazo bora hata kuliko mwenye mtaji wa milioni 100 anaekua kwenye field so usichukulie akili za watu poa jifunze kwa watu sio kudidimiza hoja zao kwa hoja afifu kama hii,
 
Good customer Care....hao pump attendant...hkikisha wankua wakarim kwa wateja....lugha nzur then..kufuata miiko ya kazi.... then toa discount...kwa wateja wa kubwa....pia tafuta wateja wapya..mabus..viwandan n.k utauza tu.
 
Nimeshawahi kufanya kazi kama hiyo kuna kampuni ilikuwa inapata wateja wachache vituo vyake vya mafuta kwa Mwanza, Arusha, Dar Es Salaam na Mbeya.
Nilimfanyia marketing mystery shopping Observation kwa muda wa miezi 3 na matokeo aliyapata mazuri mpaka sasa ananishukuru sana. Nilimtengenezea Questionnaire ikiwa na baadhi ya vitu kama ifuatavyo;

Forecourt Experience
The forecourt experience takes place as you drive into the filling station. This includes your interaction with the petrol attendant and the condition of the forecourt. Please take note of the following when evaluating the forecourt:
If the mystery shopper is served by two or more attendants, you must note only the principal provider of service’s name. Regarding additional services: points are to be rewarded for additional services offered regardless of which attendant offered the service. You should not mark down the attendant for offering to clean the windscreen or offer additional services even if this only takes place after they have handed the receipt to the mystery shopper. Additional service and windscreen cleaning must be evaluated positively as long as the attendant hasn’t wished the mystery shopper goodbye / farewell.
Full uniform includes the attendant wearing a name badge
The mystery shopper is required to give detailed comments if you answer NO to anything
Forecourt attendants may not wear a Quick Shop uniform and vice versa.
Handwritten cards strung over the neck with tape or string are NOT a replacement for staff name badges
 
Ndugu Muombe Mungu kila asubuhi unapoanza biashara Mungu ndiye Muweza yote kama watu wanatumia mashetani kuleta mvuta katika biashara wewe mtumie Mungu muumba mbingu na ardhi atakusaidia sana jua biashara ni imani imani yako ipo wapi ? Mwamini Mungu utaniambia
 
Mara nyingi kwenye sheli hizo wahudumu ndio wa kwanza kuharibu biashara! Fanya uchunguzi kuhusu wahudumu wako kwanza
 
Wabongo bwana
 
Usifanye mashindano bali boresha huduma zako na kila kukipmbazuka usiache kumwaga chumvi eneo lote hasa maingilio
Chumbi inasaidia nin..ahsante nami nafikiria kuboresha Zaid huduma
 
Wakati anaingia shift si mita zinasomwa na wakati anatoka?

Hivyo inajulikana ni lita ngapi ameuza anapewa commission kwa target aliyouza.
Mkuu ukisema utoe bonus yaan utatoa bonus Zaid ya mshahara wake hata Zaid ya mshahara wa mtumishi waserikali
 
Uuzaji wa receipt ndo upi..WMA walitupa mitungu iliyofanyiwa calibration kwa ajili yakuhakiki kipimo wakat wowote so hiko kipimo ndo kitakufanya ujue mafuta yanazid kwa mteja au yanapungua unampunja yaan kipimo pampu inazidisha au inapunguza
 
A successful businessman haji mitandaoni kulialia

It seems either huna kituo cha mafuta au ulikipata bahati mbaya
Kwabahati mbaya hivi kwanza unajua procedure zakumiliki kituo zikoje..sinakituo kwa bahati mbaya I run petrol station since 2000...kaa ukijua biashara imeingiliwa na magiant afro loil.mol,mouth meru,lake oil,Sahara dangote,camel oil,hao wote niwauzaji wajumla nawanavituo vyao nchi nzima so competition iko juu hasa wao huuza Bei chini ya Bei elekezi
 
new billionea in town..... biashara ya mafuta ukiifanya automatically wew ni billionea, no matter what's the challenges facing u
Hiyo ilikua zamani Mkuu kwa haiko hivo Tena..maaana kila baada ya mita500 utakutana nakituo pia makampuni makubwa yanayaingiza mafuta yanavituo so competition iko juu maana wao wanafaida ktk Bei kwanza siwaondo maimporter unadhani utashindana nao ktk bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…