malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
- Thread starter
-
- #61
Nihatar mkuu biashara now day imekua ngumu kila baada ya mita500 unakutana nakituo chamafutaItakuwa DSM hii njia ya kinyerezi mbezi maana kila Nikipata asubuhi nakuta kituo kipya
Mkuu minimmiliki kituo binafsi..GBP, lake nimakampuni yenye vibali vyakuingiza mafuta kwaiyo wananufaika kwanza kwenye Bei anaweza panga Bei chini ya Bei elekezi sababu kwanza ye niimporter kwaiyo huwezi kushindana nae kwenye Bei ukishusha yeatashusha Zaid namatokeo yake we hata hio faida unaweza usiipate au ikawa kidgo sanaaAngalia majirani wanauza Lita moko tsh ngapi, yaani wanauza Bei sawa na she'll yako au wao wanauza pungufu, Kama pungufu nawe punguza bei hata kwa tsh 10 maana naona sheli nyingi ambazo mafuta yao Bei Nadu Wana wateja wengi Kama GBP, lake oil na nk., Pia week huduma za ziada Kama upepo iwe bure
Hao hao pump attendants ndo mchezo wao.Uuzaji wa receipt ndo upi..WMA walitupa mitungu iliyofanyiwa calibration kwa ajili yakuhakiki kipimo wakat wowote so hiko kipimo ndo kitakufanya ujue mafuta yanazid kwa mteja au yanapungua unampunja yaan kipimo pampu inazidisha au inapunguza
Khaa wee upunguze Mia mzee kwenye gari ya lita 40000 upunguze Mia Mia nishingap kwa hizo Lita maana ake utakua umejipunguzia faida ya tsh 4000000.Punguza sh.100 kwa lita moja ya petrol na ya diesel
Nacho nisahihimkuu usichojua saa zingine unaweza kudhan una wateja wengi kumbe wanavumilia tuu, siku wakipata mbadala wanakimbia wote. Lazima kuna kitu unazingua
Mkuu elimu haina mwisho ujui kuwa watu wanaujuzi nahawana biashara.. wao hushauri watuUmemwambia ukweli mtupu,petrol statipn ni biashara ya mamilioni then anaomba ushauri kwetu wamachinga
Punguza sh.100 kwa lita moja ya petrol na ya diesel
Hiyo kitu haiwezekani maana machine ni automatic imeunganishwa napampu yaan mafuta hayawezi toka bila mfumo wa risiti mfumo wa risiti ukizingua mafuta hayatoki..Hao hao pump attendants ndo mchezo wao.
Linakuja gari la kampuni kuweka Diesel mfano ya laki 2 lkn wanawaomba wawape ya 150,000 ila receipt iwe ya laki 2.
Huko kwingine jijazie msala unakuwa wapi.
Mim Nina moja Ila mabepari ndio wamefungua yaan zimeongezeka mbili zamabeparimafuta ya magari huwa wanachanganya na vilipuzi.sasa kama mafuta yamewekewa kilipuzi kwa kiasi kidg mafuta yana isha kwa haraka sana.sasa sisi wateja tuna jua sheli ipi mafuta yake hayaishi haraka.
pia jaribu kushusha bei kidg ulingane na mzee wa lake oil
pia chunguza madereva wanaokuletea mafuta.kuna case moja ilishawahi tokea walikua wanachanganya na maji kwenye section moja ya tank then wakimwaga ilikua sio rahisi nan alichanganya
pia boresha muonekano wa shell yako ikiwaka inajitangaza yenyew .
pia wafanyakazi usafi wa mavazi lugha na akili.hamna mtu apendi kuhudumiwa na watu wasafi akili ,mavazi na lugha
pia sali sana ,muombe sana mungu
mwisho ridhika na upatacho,usijifananishe kama ulivyosema awali kua wao ni wafanya biashara wakubwa kuliko ww .huenda wamekuzid mbinu za biahshara pia labda walijitengenezea wateja wakudumu.kwahiyo ww unatakiwa ujiangaishe zaid mbinu za kuwaibia wateja mu balance ecosytem
pia unaweza niajiri mm niwe afisa masoko wako ila sina cheti nina expirience tu[emoji16]karibu pm mkuu
swali?
sheli zako zote zimeshuka na ulizo zifungua karibuni au ni hiyo tu iliokaribiana na mabepali
Location yenu ipo wapMim Nina moja Ila mabepari ndio wamefungua yaan zimeongezeka mbili zamabepari
Risiti zinapatikana tu bila hata huo mfumo.Hiyo kitu haiwezekani maana machine ni automatic imeunganishwa napampu yaan mafuta hayawezi toka bila mfumo wa risiti mfumo wa risiti ukizingua mafuta hayatoki..
Biashara kwa kupigishwa story zote zinalipa na hakuna risk,ingia field ujionee mambo yalivyo magumuMkuu elimu haina mwisho ujui kuwa watu wanaujuzi nahawana biashara.. wao hushauri watu
Kwa wanaofanya biashara wamenielewa, ndio maana kuna tofauti ya mfanya biashara vs mjasiriamaliJidanganye tu
Haujui sisi ndiyo wateja tunachagua huduma flani😀...Shida moja kubwa Ni kwamba unaowaomba ushauri humu wengi wao hata biasharaa za million 9 wanazisoma kwenye threads. Wewe mwenyewe na wasiwasi kama una kituo cha mafuta kweli.. naona mengi kwenye game hujayajua"
Joke tu😊
Unapunguza halafu unasetiwa pampu hizo mzee unakuwa unawaibia wateja.Khaa wee upunguze Mia mzee kwenye gari ya lita 40000 upunguze Mia Mia nishingap kwa hizo Lita maana ake utakua umejipunguzia faida ya tsh 4000000.
WAPE COMMISSION WAMILIKI WA DALADALA NA MALORI WANAOWEKA MAFUNTA HAPO KILA SIKU MUHIMU WATUNZE RISITI TU MFANO KAMA MMILIKI WA DALADALA AMEWEKA MAFUTA MWEZI MZIMA KWAKO NA AMEKULETEA RISITI KUTHIBITISHA HILO BADI BONUS YA JUU NI ELFU 50 NA KUSHUKA CHINI HIVYO HIVYO KWA MALORI KULINGANA NA GHARAMA ALIZOTUMIA KUJAZA MAFUTA HAPO UNARUDISHA COMMISION KWA WAMILIKI KAMA ASANTE NA KARIBU TENA HAKUNA ATAYEKUHAMA HAPO..Wakuu Kama nilivoelezea hapo hapo juu namiliki kituo Cha mafuta. Nina changamoto yakushuka mauzo kulinganisha nahapo awali mauzo yamepungua baada yakuongezeka vituo viwili vingne vya mafuta. Nini nifanye kuongeza mauzo au kuvuta wateja Zaid ukizingatia washindani wangu wana nguvu zaid yangu maana hawakodi magari Bali wana magari yao yakuwabebea mafuta pindi waendapo nunua mafuta katika madepot ya jumla. Sasa wakuu nin nifanye kuongeza mauzo ktk Hali hii
Namba moja itakula kwake wenzake wana magari yeye anakodi akishusha 5 wana uwezo wa kushusha mpaka 15 na bado wakawa fit.. SishauriMikakati
- Shusha bei hata kwa shilingi 5
- Toa huduma kwa haraka
- Tumia mabinti wenye mvuto na wanaotabasamu muda wote na wavae nguo zinazobana