mafuta ya magari huwa wanachanganya na vilipuzi.sasa kama mafuta yamewekewa kilipuzi kwa kiasi kidg mafuta yana isha kwa haraka sana.sasa sisi wateja tuna jua sheli ipi mafuta yake hayaishi haraka.
pia jaribu kushusha bei kidg ulingane na mzee wa lake oil
pia chunguza madereva wanaokuletea mafuta.kuna case moja ilishawahi tokea walikua wanachanganya na maji kwenye section moja ya tank then wakimwaga ilikua sio rahisi nan alichanganya
pia boresha muonekano wa shell yako ikiwaka inajitangaza yenyew .
pia wafanyakazi usafi wa mavazi lugha na akili.hamna mtu apendi kuhudumiwa na watu wasafi akili ,mavazi na lugha
pia sali sana ,muombe sana mungu
mwisho ridhika na upatacho,usijifananishe kama ulivyosema awali kua wao ni wafanya biashara wakubwa kuliko ww .huenda wamekuzid mbinu za biahshara pia labda walijitengenezea wateja wakudumu.kwahiyo ww unatakiwa ujiangaishe zaid mbinu za kuwaibia wateja mu balance ecosytem
pia unaweza niajiri mm niwe afisa masoko wako ila sina cheti nina expirience tu[emoji16]karibu pm mkuu
swali?
sheli zako zote zimeshuka na ulizo zifungua karibuni au ni hiyo tu iliokaribiana na mabepali