Ninamjibu Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu kuhusu kuwapongeza viongozi wa Tanga kwa kutogombana

Yani hiyo ardhi iliyouzwa hao watu wanahela na kama hawajazificha nyumbani kwao watakua na miradi mikubwa au wameficha nje ya nchi. Hata mahawara zao wamewajengea nyumba, serikali iwachunguze waliouza mji wa Tanga kichangani,masiwani,amboni,kasera,mkulumuzi,nema nk.
Mh. Rais au Tanga mmewapa sadaka hawa viongozi
 
Sitegemei mhe. Waziri ajikosoe mwenyewe kwa kuwawajibisha waliomsaidia kuingia ubungeni aslani.....hapo atawaremba TU iwe usiku au mchana au machweo.
 
Kiongozi usipokuwa dikiteta kidogo kamw huwezi kuwa kiongozi mzuri
 
Sitegemei mhe. Waziri ajikosoe mwenyewe kwa kuwawajibisha waliomsaidia kuingia ubungeni aslani.....hapo atawaremba TU iwe usiku au mchana au machweo.
Kwakua yeye nimshauri wa Rais ajaribu kumuambia viongozi waliokua Tanga awapandishe vyeo awape ubalozi na ukatibu au ukurugenzi wa mashirika ya uma. Ili nae aonekane amewalipa watu wake fadhila. Waondoketu Tanga hata na huyo Ummy wao wakale nae maisha mbele ya safari. Wawaache watu wa Tanga wapumue . Ingawaje wapo wachache wanaoumizwa na habari hizi lakini muda umefika wapumzishwe au waondoke. Lakini wasipopumzishwa huko waendako nawapa pole na ninawaambia wawafunde wake zao mapema
 
U
Ulipo mtaja huyo SELE BOSI ndipo ulipo haribu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…