Ninampango wa kutoka Mwanza kwenda Dar na Toyo XL Tupeane uzoefu kwa waliowahi kutoboa route ndefu za mikoa na TOYO

Itakuwa V8 VXR za wakubwa wa nchi
 
Mkuu inawezekana mimi nilitoka na BOXER BM150 kutokq dsm had Nzega kwa masaa 14 tu cha msingi piga service ya maana alaf uwe na vitu vya muhim kwa ajili ya dharura na uwe makini sana barabarani ..ukizingatia hayo unatoboa kabisa
 
Gharama ya kutoka Dar na toyo money wise na ki uchovu ni better ku:

  • panda luxury bus.
  • kama una vi ela kodi gari

Nyingine ni mbwembwe tu! Nimetumia gari sana binafsi kwenda Dar, ila motivation ni matumizi ya gari Dar na Sio adha ya public transport, hakuna adha yeyote.
 
Mkuu inawezekana mimi nilitoka na BOXER BM150 kutokq dsm had Nzega kwa masaa 14 tu cha msingi piga service ya maana alaf uwe na vitu vya muhim kwa ajili ya dharura na uwe makini sana barabarani ..ukizingatia hayo unatoboa kabisa
safi sana mkuu baada ya safari kipi kilikutokea kiafya
 
we talk about mazoea mkuu hata kwenye daradara tu huu ni mwaka karbia wa tano sijawai kupanda,
 
Mkuu unaongelea honda XL (Japan made) au toyo XL (China made) ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…