anasema kama sitaki kumpa tusitafutane wala nisiende kwake tena maana ninamtega tega bila sababu.si ndo anataka kuniacha hivo jamani? nataka nikae tufanye mambo yote .tuinjoy pamoja except sex i wish ingewezekana
Mpe uchi wala usijali.....you have nothing to lose....kama ni wa kukuoa atazidi kukupenda.....na anaweza hata ku propose fasta...we mpe uchi...tena wooote....be very genuine...jiachie mama.....wanaume siku hizi wanapenda kupima mashine....mtu usije ukachukua galasha.....si unajua wanawake wa tz siku hizi!!!wengine wanajifanya hata mabikira wakati mapakacha.....we toa tu uchi mama....by the way, it will be your part to know him too!!.....usije nawe ukachukua galasha!!!mapenzi ya dhati hayana kificho mama.....bania bania mwishoni anasepa....wanawake wengi siku hizi bana..LOL..Naitaji ushauri wa dhati kutoka kwenu wadau
Nilikuwa na mpenzi niliekuwa nampenda sana sana lakini mwisho wa siku aliniacha na kufunga ndoa narafiki yangu kipenzi.
From there sijawai kuwa kwenye relationship seriously maana sijawai kumpenda mwanaume yeyote tena since then
Miaka imeenda (shukrani kwa JamiiForums na wadau wake ) nimeweza kusahau ile hali kidogo na kuanza maisha upya.
Nikaamua kuingia kwenye mahusiano, sijui tatizo ni mimi Kuna mwanaume kweli ninampenda lakini tunashindwakwenda mbele zaidi maana kiukweli simuamini. Sijawahi kumuhisi kitu basi tu sijiamini na mahusiano nae
Hatujawai kusex nahisi anaweza tukisex anaweza kuniacha tena jamani sijui nifanyeje nahisikumpoteza
Kwani jamani kusex ni lazima jamani? I wish angenielewa imani yangu ila nampenda kweli kweli
Naitaji ushauri wa dhati kutoka kwenu wadau

kiukweli angaza tulienda siku nyingi.naogopa akija kuniacha tena si nitakufa mimi jamani?
tuna miezi saba now