Ninampenda kweli huyu mwanaume


kWANINI UNA WASIX2 AKIMEGA ATASEPA, MENYU HAIJAKAA SAWA?
 

...tatizo lipo kwenye 'wekundu' hapo...

kuna uwezekano mkubwa ex-wako alikujengea usukule kwamba una udhaifu kwenye tendo la ndoa, kiasi kwamba
sum'whr kwenye akili yako nawe umeyahifadhi maneno yake 'bila kujijua'...

Kumradhi iwapo nimekutafsiri siyo, kama tatizo ni hilo...nitakusaidia mbinu mpya.
 


huyu wa sasa unaishi nae, yuko mbali? au mko eneo moja lakni kila mtu anaishi kwake?..nijibu ili nikusaidie.. maana kuna jambo moja linaitwa cyber marriage siku ni kilio kwa watu walioko kwenye mahusiano..lengo ni kwamba yaliyokutokea yasijirudie
 
nice to see u mbu wangu
hakuniacha hata kwa sababu ya udhaifu kwenye tendo la ndoa kaka? mimi ni kijana bado mbona shule za tendo la ndoa zipo kila mahali siku hizi siwezi kuogopa hilo naweza kuwa mjuzi kuliko hata mwalimu
aliniacha tu kama mlivo tu wanaume si unajua waongo/wanafiki kila kitu .kwa nini lakini?
 
Reactions: Mbu
huyu wa sasa unaishi nae, yuko mbali? au mko eneo moja lakni kila mtu anaishi kwake?..nijibu ili nikusaidie.. maana kuna jambo moja linaitwa cyber marriage siku ni kilio kwa watu walioko kwenye mahusiano..lengo ni kwamba yaliyokutokea yasijirudie
tunaishi mkoa mmoja ila kila mtu yupo kwake.huwa naenda /anakuja home.tunatoka out pamoja ,nilishawai kulala kwake lakini siku hayupo tulibaki na mlizi kama wiki mbili alisafiri.alivorudi nikarudi hme maana alikataa nisilale kama sitaki kulala chumbani kwake
 
Wanawake mnamatatizo kweli.

Hivi hamjui kufanya sex kabla ya ndoa pia ni kitu kizuri kwako kumjua inadvance kwamba jamaa anaweza au hawezi?

What if baada ya ndoa ndo ukaja ukagundua jamaa hasimamishi?
 

...oky, sasa nimekupata....wadhani akishapata ile kitu roho inapenda atasepa...!?

Ila hapo kwenye uwongo wa wanaume mnh, nadhani twaweza fungulia mjadala huu siku
nyingine, ...kwa mtazamo wangu miaka ya sasa ni kula n'kule....si wa'wake si wa'ume
sote twadanganyana kufanikisha/kupata kile 'roho' yataka...

Mapenzi yamekuwa diluted kabisaaa...ukibahatika kumpata anayekupenda KIUKWELI, ujue thamani
ya penzi lake kwako nawe jithaminishe naye ajithamini hajawekeza penzi palipo chachu na chungu.

Love is a lesson, ukiachana na mtu usihuzunike sana ....jifariji kwa somo la mapenzi alilokupatia, na
ukumbuke amekimbia sababu thamani yako ni zaidi ya uwezo wake wa kukupenda...
usijishushe thamani yako kumpendezesha mtu akupende atakavyo.

Mapenzi ni kupendana.
 
hebu niambie ukweli mbu nifanyeje? nimkubalie anavotaka ili safari iendelee?
 
hebu niambie ukweli mbu nifanyeje? nimkubalie anavotaka ili safari iendelee?

Anataka nini?

yaani yeye bila 'kumkubalia' anachotaka safari ina hati hati?
basi hakupendei mapenzi huyo...au nakusoma sivyo?
 
Anataka nini?

yaani yeye bila 'kumkubalia' anachotaka safari ina hati hati?
basi hakupendei mapenzi huyo...au nakusoma sivyo?
ndo ivo mbu.eti namtega tu.yeye anadai hawezi vumilia
 
Pole sana dada yangu. Najua kweli unaumia na unataka ushauri mzuri. Kumpata mtu anayekupenda ni suala la bahati sana, Unapaswa kusali sana kwa dini yako Mungu akupe mwanaume wa kweli akupendaye na utakayempenda. Lakini kumbuka pia kuwa sex ni muhimu sana kwa human being, hata kama hutaifanya leo, kesho utaihitaji unless unamapungufu ya hisia. Na wanaume wengine humpenda mwanamke anapofanya naye sex japo wengine ni kinyume chake. Sasa hatari ni kwamba ukimbania sana atakata tamaa. Ikumbukwe kuwa sex inakuweka karibu zaidi na mwenzi wako na mkishafanya ndio mnaitana wapenzi. Kabla ya kufanya sex mnakuwa sio wapenzi ila ni marafiki tu. Mapenzi ni kamari kwa wakati mwingine, unaweza kupata au kukosa kama ilivyokutokea. Lakini naungana na Rose1980 kwamba usimhukumu mtu kwa makosa ya mwingine. Kila mtu ana tabia zake, mazuri yake na mabaya yake. Tuko tofauti! Tafakari na Mungu atakusaidia.
 
nashukuru kwa ushauru rafiki. too painfull lakini
 
Kibaya siku unampa anakuta tambalale ataanza jiuliza sasa huyu alikuwa anakatalia nini? watu washa kula huko mi nabambeleza miezi saba bado anaringa????
 
hi sredi inakimbia balaa!! nimeshindwa kusoma zote.
sawli langu ni je kwani huyo wazamani ulimpa?
 

the next best thing that men look for after your physical appearance, moral behavior, glamor, is...





The quality of your womanhood, I mean your vagina. He asks himself, will i live with this... For better for worse, happiness and sickness until death do us part? If the answer is YES! Then the man is YOURS no matter what. I mean no matter what. So think about that ladies
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…