Ninampenda kweli huyu mwanaume

hata mimi sielewi rafiki am so confused here
 
unapoanzisha mahusiano-kwa nini wazo la kwanza liwe kuachwa???pamoja na yaliyokukuta nyuma anza upya-kwa umakini huu:
usiruhusu sex before marriage, pangeni mikakati yenu ya ndoa sasa-au anasemaje kuhusu ndoa, akiuchuna mwanzishie mada. plan for your future-pangeni kutokuachana, pangeni watoto wenu mtawaleaje(mkiwapata) n.k, n.k lakini kwa imani uliyonayo kuhusu Mungu -mwombe akuongoze(awaongoze).Mungu ndiye kila kitu, anaweza kukufunulia ya mbele
 
Jiamini...
Muamini....
Kumbuka love is about taking risk......

Msome kabla hamjakimbilia sex
Kuwa huru,
sahau yaliyopita.....
Enjoy .....kumbuka life is too short kuishi kwa hofu........
 
Naomba nikuulize Smile kwani bwana shemeji katishia kukuacha usipompa? au we mwenyewe wajistukia? Kama nimekuelewa vizuri jamaa ni kama hataki vitendo vya kumtamanisha wakati hapewi..?

Changamoto nyingine ni jamaa kama nimpenda ngono anaweza kuwa anakula pembeni huku akijitahidi kufanya vile utakavyo wewe mnapokuwa pamoja.
 
Na kama anafanya.....basi iwe kwa upendo tu na sio kwa sababu ya mambo aloambiwa! Habari yako swaiba??
Ndio mana nimemwambia ajiachie... Maana yake ni kwamba ajisikilize mwenyewe zaidi, sio kwakuwa memba wamemshauri... Naimani haya yote aloshauriwa hapa atachanganya na zake ili apate jibu la kutoka uvunguni mwa moyo wake...


Mie good swahiba hajambo shemeji langu?
 
Wadau.....mbali na kuwa mpendwa wetu Smile ana hofu ya kuchunguliwa na kuachwa solemba, pia kuna suala la kupewa kitu kama masharti flani vile! Kwamba asipokubali kusex then its over na wasitafutane! Je, ina maanisha kuwa Smile ye hapaswi kusikilizwa na badala yake anatakiwa kukubali kile jamaa anachokitaka?? Vipi kuhusu makubaliano?
 
kweli nampenda sana sana i wish sijui nimfanyie nini anielewe

omba ndoa umri unakwenda mambo ya bf /gf yanamwisho dada,kuna mdau ameuliza huyo jamaa unaweza kuingia nae ktk ndoa.hata mim kuna wadada nawapenda bt swala la wao kuja kuwa MAMA watoto wangu alipo kabisa
 
mmlaumu MUNGU aliyekupa damu baridi
 
Smile ni mwingi sana wa habari! Mara hiki mara kile. Mara hivi mara vile. Ili mradi tu.....
 
a problem known is a problem half solved,miezi 7 bila kushirikiana ktk hiyo nyanja si kitu kidogo though hiyo sio guarantee pia,according to the power of attraction theory ukiishi kwa imani ya kuachwa utaachwa kweli u just believe he is all yours and work toward possessing him completely kwa imani yako ya dini yoyote uliyo nayo muhusishe Mungu ktk hilo si ajabu mapema sana tutakula keki!
 
Pole sana kwa yaliyokusibu smile,mimi ushauri wangu ni kuwa uwe mwangalifu tu,usije jiingiza kichwakichwa kwa jamaa na kama yeye lengo lake ni mzigo tu akishabanjua ndo humuoni tena,kaa na huyo jamaa na jadilini dhamira zenu,kama kweli anakupenda kwa kukuoa hilo ni sawa lakini kama anataka tu mzigo tumia akili ya kuambiwa kisha changanya na zako,cheki na jamaa ujue previous relationship zake,je sasa ana mke au hana?kama ana mke mkimbie kama ukoma unless unataka kuwa mke wa pili au nyumba ndogo,mwanaume ana ushawishi mkubwa mno katika suala la mapenzi na hasa akigundua ulishawahi kutendwa,kwani atajifanya anakujali na wewe utaona mtu ndo huyu lakini ukimpa tu utaona changes vinginevyo awe na dhamira ya kukuoa.
Kitu kingine epuka kumpiga mzizinga kwani hiyo ndo imekuwa tabia ya kina dada,utaona mtu akishakuwa na uhusiano na mtu atataka shida zake zimalizwe na huyo bwana hata kama nayeye ana kazi,hilo huwa ni kosa kubwa kwani kama mtu hana dhamira nawe atakuhonga kiasi ukitakacho hata gari,lakini akishakula tu anza kuhesabu maumivu.
Please take care!
 
Hahaha. Janga la kidunia lol. Namchemsha smile swahiba manake namshangaa anaumiza kichwa kuwaza yasokuwa na majibu....

Kila mahali utasikia breakups za kutosha tu, ukichagua kuishi na broken heart kweli utakuwa unatetemeka kila uchao mwaya! Alafu bahati mbaya mioyo haina hata zipu.......kwakweli maswali mengine ni ya kuyaacha yatajijibu kadri muda unavyosonga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…