Ninampenda Miss Natafuta

Kijana kijana

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2018
Posts
2,546
Reaction score
2,621
wadau wa humu mimi sio mwenyeji ni wa juzi juzi lakini kuna dada napenda swagger zake Haki ya mungu...

kuna kapicha nakaona japo sikajali sana hako kapicha lakini aisee upendo unatoka kwa mungu tu..

unashangaa kila nikipitia nyuzi na kusoma comment zake basi suruali inainuka tu kwa maneno yake alafu ajabu ni maneno ya kawaida tu ambayo anaweza kuyaandika hata mtu mwingine lakini kwa huyu mdada sijui naona akiandika karoho kwatuuuuu..

hajui tu lakini napitia nyuzi nyingi sana bila kukoment chochote na namuona sana ila huwa napitaga tukimtindo..

kuna nyuzi jamaa analalamika kwamba wadada wa jf hawasomeki,mara leo anabikira mara juzi alitoa uzi mtoto anaumwa..

baasi katika nyuzi hyo akatokea huyu mdundo wa roho yangu(miss natafuta) akakoment akasema hivi"si unitaje tyuu.."(basi nikasimamisha mdure)

yule mwenye uzi akasema hakumtaja mtu.
zipo nyuzi nyingi sana napitia naona coment zake nyingi tu na nafurahi kuzisoma kwa sababu ni mtu pekee ambae simjui lakini namfurahia kwa coment zake huku ndani...

kanifanya niwe msomaji zaidi ya muandikaji.
nahisi kabisa uzi wowote akiandika miss natafuta basi kaniwakilisha..

ni mfano wa mtu ana mke wake kisha likatokea tatizo mtaani yule mtu asiende akaenda mkwe..basi inakuwa kama huyu mke kamuwakilisha jamaa..

ndyo mfano wangu na miss natafuta huyu wa JF..
Nakumbuka kuna uzi aliutoa kuhusu katoto chake nikahsi kama kale katoto nakaona nimekabeba nakapeleka hospitali.. hata kama labda alikuwa hana lakini mimi tayari toka mda taswira ya mtoto yule imekuja kichwani na kama namuona tu..

kwa jinsi ambavyo mungu kajaalia kujenga ikulu ya huyu dada katika mtima wangu haya yote yamenifanya nijiunge jamii forum..

hivi hamjawai ona mtu anasafiri kwa ajiri ya mwanamke tu?au mwanaume tu?

sasa ikiwa mtu anaweza kusafiri kwa ajili ya mwanamke au mwanaume na anatumia mipesa kusafiri..vipi mimi nishindwe kuingia jf kwa ajili ya HUYU BINTI MISS NATAFUTA kwani kuna gharama gani kujiunga mpaka nishindwe?

maandiko ya mtu yanawezakuwa sababu ya kupendana ama vinginevyo..kwa sababu wapo watu hulalamika sana kwamba wapenzi wao hawajui kuchat na hawana swagger za kuchat...

lakini huyu mdada mungu kambariki neema hii ya kuupa faraja moyo wangu naimani yeye hawezi mwenyewe hana uwezo huo lakini mungu ndiye alienitia upendo katika moyo wangu...
.
naomba kuwasilisha na huu ujumbe mungu pekee ndiye atakaemfikishia kwa namna yeyote ile itakayokuwa ...
 
mbona kuna mdada anasema mmenigegeda sana na kila mkishanigegeda mnamtumia video mkuu? wewe hujatumiwa?
Huyo mdada atakuwa mwanga! Wewe ni mbahili wa kimataifa kutoa papuluchii. Mijitu huwa inaishia kupigwa za USO tu na kusepa. Unaona mpaka jamaa kaamua kujuanaishia Uzi! Itakuwa ni mmoja wa wahanga (victims) kaamua kuja kivingine. Haha!
 
Huyo mdada atakuwa mwanga! Wewe ni mbahili wa kimataifa kutoa papuluchii. Mijitu huwa inaishia kupigwa za USO tu na kusepa. Unaona mpaka jamaa kaamua kujuanaishia Uzi! Itakuwa ni mmoja wa wahanga (victims) kaamua kuja kivingine. Haha!
ngoja nikutumie pm . uliza watu walokuwepo huku jpili,.
 
Huwezi kupata kila kitu kinachofurahisha moyo wako kwa wakati kuna vingine lazima uhangaike na uvumilie kwelikweli
mimi moyo huo wa kusema ngoja nile tu ugali kwa vile nimekosa wali huwa sina bora nife na tai shingoni ugali hakuna basi sili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…