Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
aya niambiefukua utizame mkuu hata mwezi sina humu ni mda mfupi tu nimejiunga lakini kitambo hii app nilikuwa nayo na nikawa nasoma tu lakini majuzi nikapata uamuzi wa kulog in namimi nichangie kama hivi...
Ikiwa nadanganya basi naomba miss natafuta mwenuewe aje athibitishe wapi nilimfata pm..
ni kwa neema za mungu tu wakuu wala msije sema ati mwenyeji humu
hahhahahahahahahahshosti huku kuna vituko bna acha tu yaani
hahahahahahahahahahaahhhahahaha, niseme nini ndugu yangu nipooooooNasubili Neno Toka Kwako NAHUJA
Futa Ilo Neno Lako " Wanaume Watoto Wa Shetan"aya niambie
kwanza asante kwa kinipenda mkuu maana maisha ya magu yalivo na stress ukipata mtu akakupa nafasi moyoni mwake ni bahati tosha ni kweli amekuthamini.ila nikushauri tu usiumize moyo wako bure mimi sipendeki hata kidogo kwanza sijitambui . nyie wanaume watoto wa shetani nawaogopa saaana.
kwani hunipendi tena?wakuu kuna mtu kaedit uzi huu....
kaona anajua sana kaandika nampenda miss natafuta..wakati mimi niliandika MISS NATAFUTA lakini huyo kaongeza neno nampenda...angeacha hivyo hivyo tu mimi nina maana yangu kutoliweka hilo neno
Futa Ilo Neno Lako " Wanaume Watoto Wa Shetan"aya niambie
kwanza asante kwa kinipenda mkuu maana maisha ya magu yalivo na stress ukipata mtu akakupa nafasi moyoni mwake ni bahati tosha ni kweli amekuthamini.ila nikushauri tu usiumize moyo wako bure mimi sipendeki hata kidogo kwanza sijitambui . nyie wanaume watoto wa shetani nawaogopa saaana.
Sawa Bhana Leo Hufukui Makabuli Au Chepeo Huna....???hahahahahahahahahahaahhhahahaha, niseme nini ndugu yangu nipoooooo
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Sawa Bhana Leo Hufukui Makabuli Au Chepeo Huna....???
Kaamua kutoa ya moyonIla kwa kweli mleta mada we ni mwenyeji kabisa wala sio mgeni kama unavyosema
Hv wanaume tulikufanyia nn unatuchukiaaya niambie
kwanza asante kwa kinipenda mkuu maana maisha ya magu yalivo na stress ukipata mtu akakupa nafasi moyoni mwake ni bahati tosha ni kweli amekuthamini.ila nikushauri tu usiumize moyo wako bure mimi sipendeki hata kidogo kwanza sijitambui . nyie wanaume watoto wa shetani nawaogopa saaana.
Naimani kabisa mungu pekee ndiye anaeweza kucontrol maumivu ya moyo na wala sio mimi mwenyewe....aya niambie
kwanza asante kwa kinipenda mkuu maana maisha ya magu yalivo na stress ukipata mtu akakupa nafasi moyoni mwake ni bahati tosha ni kweli amekuthamini.ila nikushauri tu usiumize moyo wako bure mimi sipendeki hata kidogo kwanza sijitambui . nyie wanaume watoto wa shetani nawaogopa saaana.
Unacheza na mods ww[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wakuu kuna mtu kaedit uzi huu....
kaona anajua sana kaandika nampenda miss natafuta..wakati mimi niliandika MISS NATAFUTA lakini huyo kaongeza neno nampenda...angeacha hivyo hivyo tu mimi nina maana yangu kutoliweka hilo neno
MISS NATAFUTA kakosea kunitangulia huyu mueditiji ..kwani hunipendi tena?
Mistari hiyo..Naimani kabisa mungu pekee ndiye anaeweza kucontrol maumivu ya moyo na wala sio mimi mwenyewe....
.nafahamu unatambua fika kwamba mtu kupenda ni jambo linatoka kwa mungu tu na hakuna ambae anaweza kusema naamua nisimpende fulani ama fulani ..huyo akiamua na akaweza basi hakuwa mwenye kupenda bali alikuwa anaigiza tu miss natafuta...
wewe ni mwanamke unaejielewa sana kutokana na kulalamika kwa watu wengi ati unawazungusha na wanaambulia patupu...ambae hajielewi haawezi kufanya hivi bila shaka unatambua thamani yako ndio maana ukawa unawapiga chenga ...
nikuambie neno moja tu kwamba siku zote mtu akikuambia anakupenda kisha akataka umjibu basi jua huyo alikuwa anakuuliza tu wala hakumaanisha kama anakupenda..
kwa sababu chenye kujibiwa ni swali peke yake..
. ninachokiandika ndicho ninachokimaanisha....
wewe mnamjua Mungu kweli nyie?Futa Ilo Neno Lako " Wanaume Watoto Wa Shetan"
mkuu moyo wangu ndiyo unaongea kwa huyo mdada lakini mkono ni kiwakilishi tu....Mistari hiyo..
Uzee huu unakosesha mambo matamu
[emoji23] [emoji23]