Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Duuuhhhhmbona kuna mdada anasema mmenigegeda sana na kila mkishanigegeda mnamtumia video mkuu? wewe hujatumiwa?
Tunasemea labda id ni mgeni ila we ni mzoefu tu humu rafiki.fukua utizame mkuu hata mwezi sina humu ni mda mfupi tu nimejiunga lakini kitambo hii app nilikuwa nayo na nikawa nasoma tu lakini majuzi nikapata uamuzi wa kulog in namimi nichangie kama hivi...
Ikiwa nadanganya basi naomba miss natafuta mwenuewe aje athibitishe wapi nilimfata pm..
ni kwa neema za mungu tu wakuu wala msije sema ati mwenyeji humu
eheheee mkuu hujapata? au ni wewe umenigegeda?Duuuhhhh
miss natafuta..wewe mnamjua Mungu kweli nyie?
Sijapata mkuu ,inabidi unimegee huo ubuyu!!eheheee mkuu hujapata? au ni wewe umenigegeda?
Mtu nani huyowakuu kuna mtu kaedit uzi huu....
kaona anajua sana kaandika nampenda miss natafuta..wakati mimi niliandika MISS NATAFUTA lakini huyo kaongeza neno nampenda...angeacha hivyo hivyo tu mimi nina maana yangu kutoliweka hilo neno
bosi kama unataka uamini hivyo sawa siwezi kukulaumu..Tunasemea labda id ni mgeni ila we ni mzoefu tu humu rafiki.
Time will time,wanaungaga lakin tutaona mengi
aah hata simjui nani ugeni tabu..tunajua kusoma nyuzi tu na kucomentMtu nani huyo
mkuu hapana...Aisee mistar tu suruali inanyanyuka?kweli miss natafuta kiboko
Sasa kama ni watoto wa shetani wewe ulipatikanaje?acha kutusi watu miss natafuta.aya niambie
kwanza asante kwa kinipenda mkuu maana maisha ya magu yalivo na stress ukipata mtu akakupa nafasi moyoni mwake ni bahati tosha ni kweli amekuthamini.ila nikushauri tu usiumize moyo wako bure mimi sipendeki hata kidogo kwanza sijitambui . nyie wanaume watoto wa shetani nawaogopa saaana.
mkuu nakuomba umsamehe huwenda kuna mpumbavu aliumiza dhahabu yangu ikapelekea kutamka maneno hayo....Sasa kama ni watoto wa shetani wewe ulipatikanaje?acha kutusi watu miss natafuta.
nyie ni mamaku tu mkuu kwendeni hukoSasa kama ni watoto wa shetani wewe ulipatikanaje?acha kutusi watu miss natafuta.
hata katika kutusi unastaha namna hii...nyie ni mamaku tu mkuu kwendeni huko
Eheheheheh 100%Ila kwa kweli mleta mada we ni mwenyeji kabisa wala sio mgeni kama unavyosema
mmmmmhhhhyaani mpaka kwa mganga naenda yaani .lakini wapi? dunia haipo fair mkuu
AhhahaahNdio mnaahidiana kukutana face to face kumbe kibibi cha 60 years dah πππ
niliempenda kanitoroka .mmmmmhhhh
pole sana......niliempenda kanitoroka .
sitaki tena mkuu. nitafanya mambo mengine sasapole sana......
anaekupenda anakukimbilia....