Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Hahahah usiniambie kwahiyo anaweza kuwa mchepuko wako asprinHuyu ni wazamani kwa ID ya sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah usiniambie kwahiyo anaweza kuwa mchepuko wako asprinHuyu ni wazamani kwa ID ya sasa
Mpe salaam zangu dada azifikisheKhaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ndio jf we achana na hizo mambo kama haujafanya kuna jf nyingine huko nasikia kwenye magroup ya whatsappnimeshangaa tu shosti wangu video zenyewe hazirushwi
ila shunie nimewaza kuna watu huku jf sijui wana maisha gani.watu wengine wapo serias huku eti . eti watu wanarushiana viclip huko pm .ahaaaa jf hii au kuna nyingine jamani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asisahau na lile tusi
[emoji3][emoji3][emoji3]Siku hazifanani mama, ujue leo nimeamua nimtumikie tu Mungu maana siku zinahesabika....tehteehh
pole sana kwa yaliyokukuta MISS NATAFUTWA..sitaki tena mkuu. nitafanya mambo mengine sasa
fukua utizame mkuu hata mwezi sina humu ni mda mfupi tu nimejiunga lakini kitambo hii app nilikuwa nayo na nikawa nasoma tu lakini majuzi nikapata uamuzi wa kulog in namimi nichangie kama hivi...
Ikiwa nadanganya basi naomba miss natafuta mwenuewe aje athibitishe wapi nilimfata pm..
ni kwa neema za mungu tu wakuu wala msije sema ati mwenyeji humu
mkuu nilikuwa sikujibu kwa sababu nilijua mshipi wako umefonyoka,,..Wewe kichaa alafu unataka taja Mungu ni Mungu yupi unamtaja taja??? Acha kumuingiza Mungu kwenye mambo ya kijinga.
mkuu nilikuwa sikujibu kwa sababu nilijua mshipi wako umefonyoka,,..
mungu akusamehe...
kijana naona umekuja umejipanga kisawasawa!mkuu nakuomba umsamehe huwenda kuna mpumbavu aliumiza dhahabu yangu ikapelekea kutamka maneno hayo....
[emoji2] [emoji2] [emoji2] msela umeamuahata katika kutusi unastaha namna hii...
lakini angekuwa mtu hajielewi nadhani angetoa tusi tusi la uchi bila kificho......
sasa naanzaje kujizuia kwa mtu wa namna hii
hamna mkuu ...unajua siku zote inauma ukiona mtu ambae una undugu nae japo wa kihisia kurushiwa maneno mabayakijana naona umekuja umejipanga kisawasawa!
teehe....hapana bali napigia kampeni moyo wangu ambao hauna mdomo wa kuzungumzia...[emoji2] [emoji2] [emoji2] msela umeamua
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Aisee mistar tu suruali inanyanyuka?kweli miss natafuta kiboko
kalogwa huyu ahahaaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] msela umeamua
ahaaa nimemuambia arushe huku au nikamlipie tbc warushe live[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ndio jf we achana na hizo mambo kama haujafanya kuna jf nyingine huko nasikia kwenye magroup ya whatsapp
HahahaHahahah usiniambie kwahiyo anaweza kuwa mchepuko wako asprin
Hizo salam veepe!?Mpe salaam zangu dada azifikishe