Ninampenda Miss Natafuta

Ninampenda Miss Natafuta

nimeshangaa tu shosti wangu video zenyewe hazirushwi
ila shunie nimewaza kuna watu huku jf sijui wana maisha gani.watu wengine wapo serias huku eti . eti watu wanarushiana viclip huko pm .ahaaaa jf hii au kuna nyingine jamani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ndio jf we achana na hizo mambo kama haujafanya kuna jf nyingine huko nasikia kwenye magroup ya whatsapp
 
sitaki tena mkuu. nitafanya mambo mengine sasa
pole sana kwa yaliyokukuta MISS NATAFUTWA..
bila shaka yatapoa tu wala usijali..

lakini ukipata yai bovu siku nyingine ni kusema uwe makini kuchagua zuri zaidi ya lile..
lakini usiseme sili tena mayai..nooo miss natt
 
fukua utizame mkuu hata mwezi sina humu ni mda mfupi tu nimejiunga lakini kitambo hii app nilikuwa nayo na nikawa nasoma tu lakini majuzi nikapata uamuzi wa kulog in namimi nichangie kama hivi...

Ikiwa nadanganya basi naomba miss natafuta mwenuewe aje athibitishe wapi nilimfata pm..

ni kwa neema za mungu tu wakuu wala msije sema ati mwenyeji humu


Wewe kichaa alafu unataka taja Mungu ni Mungu yupi unamtaja taja??? Acha kumuingiza Mungu kwenye mambo ya kijinga.
 
hata katika kutusi unastaha namna hii...
lakini angekuwa mtu hajielewi nadhani angetoa tusi tusi la uchi bila kificho......

sasa naanzaje kujizuia kwa mtu wa namna hii
[emoji2] [emoji2] [emoji2] msela umeamua
 
Back
Top Bottom