Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
@miss natafuta unayosema ni kweli kabisa..kalogwa huyu ahahaaaa
kwa hvyo nina busha..doh hayaHuyu Abuhafsa unamjua vyema Miss Natafuta? Anawauogopa sana wenye mabusha kama lako [emoji123]
kafanye matambiko kabla hujampata kuna waganga wanamfukzia huyowadau wa humu mimi sio mwenyeji ni wa juzi juzi lakini kuna dada napenda swagger zake Haki ya mungu...
kuna kapicha nakaona japo sikajali sana hako kapicha lakini aisee upendo unatoka kwa mungu tu..
unashangaa kila nikipitia nyuzi na kusoma comment zake basi suruali inainuka tu kwa maneno yake alafu ajabu ni maneno ya kawaida tu ambayo anaweza kuyaandika hata mtu mwingine lakini kwa huyu mdada sijui naona akiandika karoho kwatuuuuu..
hajui tu lakini napitia nyuzi nyingi sana bila kukoment chochote na namuona sana ila huwa napitaga tukimtindo..
kuna nyuzi jamaa analalamika kwamba wadada wa jf hawasomeki,mara leo anabikira mara juzi alitoa uzi mtoto anaumwa..
baasi katika nyuzi hyo akatokea huyu mdundo wa roho yangu(miss natafuta) akakoment akasema hivi"si unitaje tyuu.."(basi nikasimamisha mdure)
yule mwenye uzi akasema hakumtaja mtu.
zipo nyuzi nyingi sana napitia naona coment zake nyingi tu na nafurahi kuzisoma kwa sababu ni mtu pekee ambae simjui lakini namfurahia kwa coment zake huku ndani...
kanifanya niwe msomaji zaidi ya muandikaji.
nahisi kabisa uzi wowote akiandika miss natafuta basi kaniwakilisha..
ni mfano wa mtu ana mke wake kisha likatokea tatizo mtaani yule mtu asiende akaenda mkwe..basi inakuwa kama huyu mke kamuwakilisha jamaa..
ndyo mfano wangu na miss natafuta huyu wa JF..
Nakumbuka kuna uzi aliutoa kuhusu katoto chake nikahsi kama kale katoto nakaona nimekabeba nakapeleka hospitali.. hata kama labda alikuwa hana lakini mimi tayari toka mda taswira ya mtoto yule imekuja kichwani na kama namuona tu..
kwa jinsi ambavyo mungu kajaalia kujenga ikulu ya huyu dada katika mtima wangu haya yote yamenifanya nijiunge jamii forum..
hivi hamjawai ona mtu anasafiri kwa ajiri ya mwanamke tu?au mwanaume tu?
sasa ikiwa mtu anaweza kusafiri kwa ajili ya mwanamke au mwanaume na anatumia mipesa kusafiri..vipi mimi nishindwe kuingia jf kwa ajili ya HUYU BINTI MISS NATAFUTA kwani kuna gharama gani kujiunga mpaka nishindwe?
maandiko ya mtu yanawezakuwa sababu ya kupendana ama vinginevyo..kwa sababu wapo watu hulalamika sana kwamba wapenzi wao hawajui kuchat na hawana swagger za kuchat...
lakini huyu mdada mungu kambariki neema hii ya kuupa faraja moyo wangu naimani yeye hawezi mwenyewe hana uwezo huo lakini mungu ndiye alienitia upendo katika moyo wangu...
.
naomba kuwasilisha na huu ujumbe mungu pekee ndiye atakaemfikishia kwa namna yeyote ile itakayokuwa ...
Nilikua nimekabwa leo mama. Yani ndo naona huu uzi eti [emoji23][emoji23]Hivi mzigua leo yuko wapi?
mzigua dada yangu naomba unisaidie mawazo yako kuhusu huyu Miss Natafuta...wallahi huyu dada kaniteka vibaya..nasubir comment zake tangu saa mbili kimyaNilikua nimekabwa leo mama. Yani ndo naona huu uzi eti [emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Naona Mungu kajibu maombi shostileo siku y akubeba box jamani
Kazi mpenziMi mwenyew nimejiuliza hilo swali,sijui kajificha wapi
Hebu lala huko wewe dogo .Mimi vijana siwawezimzigua dada yangu naomba unisaidie mawazo yako kuhusu huyu Miss Natafuta...wallahi huyu dada kaniteka vibaya..nasubir comment zake tangu saa mbili kimya
Kabla sijakusaidia una miaka mingapi?mzigua dada yangu naomba unisaidie mawazo yako kuhusu huyu Miss Natafuta...wallahi huyu dada kaniteka vibaya..nasubir comment zake tangu saa mbili kimya
mh...Hebu lala huko wewe dogo .Mimi vijana siwawezi
Sasa bora iwe clip ya ukweli. Mambo ya kutunga tunga upuuzi tunimeshangaa tu shosti wangu video zenyewe hazirushwi
ila shunie nimewaza kuna watu huku jf sijui wana maisha gani.watu wengine wapo serias huku eti . eti watu wanarushiana viclip huko pm .ahaaaa jf hii au kuna nyingine jamani?
mzigua unajua huyu Miss Natafuta nimempenda hata sijui umri wake.... naimani mkinipa nafasi basi umri mtaona si kitu kabisa..Kabla sijakusaidia una miaka mingapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwakweli nimecheka daahNenda kwanza kwa Sangoma upigwe chale za kutosha makalioni na kiunoni ndio uanze kuhangaika na huyo bidada. Kuna vikongwe humu vimeishia kutafuniwa miamala tu, hata busu puntunyu hawajahi kuambulia.
Mwenzio anapenda wazee na wewe unaonekana mbichii hata ukoko wa pua haujakuisha.mzigua unajua huyu Miss Natafuta nimempenda hata sijui umri wake.... naimani mkinipa nafasi basi umri mtaona si kitu kabisa..
al muhimu mimi ni mtu nimeshabaleghe miaka zaidi ya kumi nyuma na sasa nipo nahangaikia maisha ili kina miss natafutwa wawe wanapata chochote kitu...
au kwa sisi under 30 itakuwa ni ngumu sana kusaidiwa ...Kabla sijakusaidia una miaka mingapi?
ooohh nisaidie tu Bila shaka nadhani hatotaka tena wazeee....Mwenzio anapenda wazee na wewe unaonekana mbichii hata ukoko wa pua haujakuisha.