Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
aya niambiefukua utizame mkuu hata mwezi sina humu ni mda mfupi tu nimejiunga lakini kitambo hii app nilikuwa nayo na nikawa nasoma tu lakini majuzi nikapata uamuzi wa kulog in namimi nichangie kama hivi...
Ikiwa nadanganya basi naomba miss natafuta mwenuewe aje athibitishe wapi nilimfata pm..
ni kwa neema za mungu tu wakuu wala msije sema ati mwenyeji humu
kwanza asante kwa kinipenda mkuu maana maisha ya magu yalivo na stress ukipata mtu akakupa nafasi moyoni mwake ni bahati tosha ni kweli amekuthamini.ila nikushauri tu usiumize moyo wako bure mimi sipendeki hata kidogo kwanza sijitambui . nyie wanaume watoto wa shetani nawaogopa saaana.