Ninampenda sana Diamond Platnumz kwa sababu......

Vipi kutompenda Baba yake na Mganga wake?

Kama Diamond hakumuona huyo baba wakati yuko mdogo,
wakati anahitaji ada ya shule.wakati anahitaji pesa za matibabu ,
labda aliyemuona akimuhangaika ni mama yake tu unafikiri huo upendo kwa huyo baba utatoka wapi.
Huyo mganga kama ni mganga kweli basi akaushe koo la Diamond sauti isitoke na hataweza kwa jina la Yesu.
 
Kuna jibaba flani liliwahi kusema humu JF kuwa linampenda jinsi alivyoonyesha masaburi yake kwenye show ya fiesta.
Dah! Nimeamini huyu jamaa anapendwa sana.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Hilo jibaba lishindwe na lilegee.
That jibaba needs Jesus.
 
nimefurah vile raia wamemuunga mkono mtoa mada
nilitegemea kuponda kma jadi yao
Hivi lile Domo la Diamond haliwezi kufanjiwa surgery? maana jamaa sidhani kama anakunja chapati.

Mimi nampongeza Producer wake kwa kumuandalia beat nzuri lakini anachoimba hata sikielewi.

Kuna beat ya nyimbo yake moja nimesahau jina hata analoimba halijulikani zaidi ya kusikia tu, mama Diamond mama, Mamama sepetu mama, mama kidoti mama. hongera zake producer wa Diamond nazipenda beat zako.
 

c bure umechanjiwa chuki na wivu
 

Asiyempenda Nasibu Domo ni mchawi huyo, hafai kuishi katika jamii ya waliostaarabika.

 
Last edited by a moderator:
We do differ,myself i see the 1 is non-sense to me,Dont generalize that his songs touches every Tanzanian that is not true
 
A Man does not respect a Woman, if he doesn't respect his Woman !
 
Diamond is good to listen and watch compared to other stars in his carrier!
Salute platinum!
 
mi mwenyewe nashangaa kwann mat*ko yako hayafanyiwi surgery!
Mpe diamond haki yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…