Ninampitisha rasmi SANCHI kama mrithi wa MASOGANGE

Ninampitisha rasmi SANCHI kama mrithi wa MASOGANGE

Kila mtu na anachopenda na kufikiria
Wengine wanawaza kutengeneza pesa na kukuza status zao
Wengine wanawaza kuwavusha wenzao kuelekea mafanikio
Wengine wanawaza kuifany tz yenye hadhi
WENGINE WANAWAZA SHUNDU
Kama unavyowaza ile T 1.5 DDD,
Huku ukiwaza mchepuko,Wakati huohuo ukimuwaza mkeo
Ndio maishaaa
 
Tukiongelea Queens of SHUNDU(KALIO) aisee baada ya Marehem Aggy. huyu Sanchi ana LEAD and right now OFFICIAL namvisha crown kama MISS SHUNDU.
achaneni na viji SHUNDU visivyo na mvuto mnavyo Post Humu.
Nawasilisha.

View attachment 755161View attachment 755162View attachment 755163View attachment 755164
Ana minyama uzembe tu hana ajabu cha kumpandisha hadhi ya kuwa mwanamke mwenyewe mvuto.Ni hiyo mikalio kama fulushi la mwizi wa nguo.Acheni kuwatukanisha wanawake kwenye staha na shepu lakini hawajianiki uchu ila ukiwaangalia na Nguo zao wanamvuto kila idara,Au mnavutiwa na hiyo minyama ya uwani,mnajua kuitumia au fahari ya macho tu,papashi
 
Huwez kuwa mshindi bila kushindana.
So hao wenye staha ilihali Hawajulikani,ni useless ktk mtanange
 
Aggy alikuwa na tako haswaa!
huyu ana minyama iliyotokea imerundikana tu eneo hilo..

ila sio kesi...simba hachagui kitoweo kimenonaje ilimradi kimenona!
 
Back
Top Bottom