Ninamtafuta mtu wa kuchora ramani tuyajenge

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Ninahitahi ramani ya guest house, vyumba 10-+ yenye jiko, dining na bar. Vyumba self contained na tutavuna maji ya mvua hivyo kuwe na nafasi ya kuchimba kisima kirefu.
 
Ninahitahi ramani ya guest house, vyumba 10-+ yenye jiko, dining na bar. Vyumba self contained na tutavuna maji ya mvua hivyo kuwe na nafasi ya kuchimba kisima kirefu.
PM yako imefungwa,karibu tufanye kazi
 
Kama utahitaji BOQ kwa Maana ya calculation ya materials na gharama zake zinazohitajika kwenye ramani yako karibu 0767605586
 
Ninahitahi ramani ya guest house, vyumba 10-+ yenye jiko, dining na bar. Vyumba self contained na tutavuna maji ya mvua hivyo kuwe na nafasi ya kuchimba kisima kirefu.
"Na tutavuna maji ya mvua hivyo Kuwe na nafasi ya kuchimba kisima kirefu" 🀣🀣,hilo si litategemea na eneo lako?

Njoo PM,Hii itakufaa πŸ‘‡

Sky Eclat kama utakuwa haujapata mtaalamu, nicheki inbox nikuunganishe na Architect mbobezi...

Au utaeleza mawasiliano yake nikutumie kwa njia ipi,, Ni mchoraji mzuri sanaaaa...

Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…