Ninamtafuta Richard Mushi

Loeli

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
997
Reaction score
763
Habari zenu wakuu,
Ninamtafuta Richard Mushi mchaga wa Kibosho. Alisoma degree ya Uchumi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kuhitimu mwaka 1996. Baadaye nilikutana naye kikazi akiwa Morogoro kwa kampuni ya Wasouth waliochukua Kibuku brewing. Baadaye alirudi Dar es Salaam akiwa ameacha kazi Kibuku. Nami kwa sasa nimehamia Dar kikazi na ninaomba kama kuna wanaomfahamu hapa wanisaidie jinsi ya kumpata anakofanyia kazi kwa sasa au pia mawasiliano ya simu yake(kwa simu tafadhali fanya PM maana nisingependa simu yake ianikwe hapa). Nina amini wapo wengi kutoka kibosho au waliosoma naye humu. Shukrani sana wakuu.
 
Wakibosho huku hawapo bana we nenda pale soko la ndizi manzese utampata,mi nakajua si kafupi hivi kakorofi hako pale kanajulikana kwa jina la hampetiti
 
Wakibosho huku hawapo bana we nenda pale soko la ndizi manzese utampata,mi nakajua si kafupi hivi kakorofi hako pale kanajulikana kwa jina la hampetiti

mbona jf ni yetu mkuu.
 
Huyu mulize UFO maana ana undugu na yule mushi aliyemtwnga risasi
 
Last edited by a moderator:
Wakibosho huku hawapo bana we nenda pale soko la ndizi manzese utampata,mi nakajua si kafupi hivi kakorofi hako pale kanajulikana kwa jina la hampetiti

Hapana mkuu huyu hawezi kuwa manedo ya urafiki soko la ndizi. Na yeye ni mrefu kiasi, mwembamba na mweusi ila sjui kama ameshapata kitambi maana mara ya mwisho tulionana mwaka 2006.
 
Wakuu so far sijafanikiwa kupata ofc anayofanyia kazi Richard Mushi au hata mawasiliano yake ya simu. Ninazidi kuomba kwenu wale ambao hata mnafahamu ofcn kwake nipeni taarifa tu. Asanteni sana.
 
Nadhani ingekuwa jambo la busara kama ungeenda Chibuku ukaomba kuonana na afisa mahusiano akupe walau email yake tuu kipindi yuko hapo inawezekana ikawa nipahal pakuanzia. Ila ujipange sawasawa kujibu maswali maana inaweza kuwa viu pia kutoa awani za watu siunajua mjini matapeli wengi
 
Wakibosho huku hawapo bana we nenda pale soko la ndizi manzese utampata,mi nakajua si kafupi hivi kakorofi hako pale kanajulikana kwa jina la hampetiti

Acha majungu, kama huwezi toa msaada kalale na mkeo!
 
Mpe Kibonde au Gerald Hando wa Clouds FM hiyo kazi...Huchukui week, unampata
 
Mpe Kibonde au Gerald Hando wa Clouds FM hiyo kazi...Huchukui week, unampata
Asante sana mkuu Ndakilawe nitafanya hivyo pia. Ila pia pengine watu wa umri wake si member wengi hapa JF au jamaa pengine hajajichanganya sana na watu aliporudi Dar au. Kuna rafiki zake walikuwa wanaitwa somebody Kisoka, Ulrich Mumburi, Celestine, Felix Mushi, etc. Mke wake nimemsahau jina maana ni muda mrefu kidogo.
 
Watafute mliomaliza pamoja waliopo hapa mjn watakusaidia kumpata maana lazima kunakuwa na network ya mliomaliza pamoja
 
Hao rafiki zake, kwa mfano Kisoka anafanyia wapi! au ni Kisoka wa sehemu gani pale kibosho...Tunaweza saidiana kwa hilo, labda tunawafahamu ndugu za kisoka, tunaweza kuwauliza na wao wakamuuliza kisoka alipo Gerald, ukapata jibu!
 
Asante mkuu, Kisoka alikuwa anafanya kazi TRA mikoani kama nitakuwa nakumbuka ila sikumbuki ni mkoa gani. Sijaelewa kama bado yuko TRA au la. Pia Celestine Mushi nafikiri alikuwa ameajiriwa Foreign na somebody Otaru pia yuko foreign.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…