Ninamtafuta Richard Mushi

Ninamtafuta Richard Mushi

Clestine Mushi, si yule aliyekuwa msaidizi wa PM Pinda baada ya kutoka foreign nadhani?
 
Wakuu so far sijafanikiwa kupata ofc anayofanyia kazi Richard Mushi au hata mawasiliano yake ya simu. Ninazidi kuomba kwenu wale ambao hata mnafahamu ofcn kwake nipeni taarifa tu. Asanteni sana.
Nadhani alikwenda marekani kusoma kwenye miaka ya 2000 mwanzoni au tisini mwishoni...kwa sasa anafundisha huko huko marekani ila sijui ni chuo/jimbo gani...nadodosa nitakurudia...ni mtu ambaye yuko kwenye late 40's au 50's hivi. ...au sio
 
habari zenu wakuu,
ninamtafuta richard mushi mchaga wa kibosho. Alisoma degree ya uchumi chuo kikuu cha dar es salaam na kuhitimu mwaka 1996. Baadaye nilikutana naye kikazi akiwa morogoro kwa kampuni ya wasouth waliochukua kibuku brewing. Baadaye alirudi dar es salaam akiwa ameacha kazi kibuku. Nami kwa sasa nimehamia dar kikazi na ninaomba kama kuna wanaomfahamu hapa wanisaidie jinsi ya kumpata anakofanyia kazi kwa sasa au pia mawasiliano ya simu yake(kwa simu tafadhali fanya pm maana nisingependa simu yake ianikwe hapa). Nina amini wapo wengi kutoka kibosho au waliosoma naye humu. Shukrani sana wakuu.
mimi namjua .>>>>richard john mushi wa adec engineering consultants co.limited
kama ni huyo niambie nikupe namba zake>>>>
 
Asante mkuu, Kisoka alikuwa anafanya kazi TRA mikoani kama nitakuwa nakumbuka ila sikumbuki ni mkoa gani. Sijaelewa kama bado yuko TRA au la. Pia Celestine Mushi nafikiri alikuwa ameajiriwa Foreign na somebody Otaru pia yuko foreign.
Celestine siku hizi ana hadhi ya Balozi mkuu
 
Celestine siku hizi ana hadhi ya Balozi mkuu

Asante sana Mkuu kwa hiyo unaweza kuju Richard Mushi anafanyia kazi ofc gani?? Kama unamfahamu Celestine hebu niulizie kwake. Nikipata hata jina la ofc litasaidia na mawasiliano mengine atanipatia yeye Mushi.
 
mimi namjua .>>>>richard john mushi wa adec engineering consultants co.limited
kama ni huyo niambie nikupe namba zake>>>>

Asante mkuu Nivea. Sifahamu jina lake la katikakati maana sikusoma naye tulikutana tu mtaani akiwa Kibuku na alikuwa rafiki mwema sana kwangu. Nikahama nikamwacha Morogoro ila kwa sasa nimerudi Dar na yeye nasikia yuko Dar pia. Ila kama ameajiriwa atakuwa mtu wa utawala zaidi kulijo engeneering (i.e planner or accountant maana at some point alisoma pia accounts baada ya B.A Economics).
 
Nadhani alikwenda marekani kusoma kwenye miaka ya 2000 mwanzoni au tisini mwishoni...kwa sasa anafundisha huko huko marekani ila sijui ni chuo/jimbo gani...nadodosa nitakurudia...ni mtu ambaye yuko kwenye late 40's au 50's hivi. ...au sio

Asante sana mkuu ni kweli atakuwa late 40s au early 50s. Ila sijajua kama ni yeye alienda marekani maana miaka hii ya 2000 alikuwa Morogoro. Ila kuna Mushi mwingine (Panteleo Mushi/Kessy) huyu miaka ya 2000 alienda Marekani kwa PhD ila alisharudi kitambo na anafanya kazi sehemu ninayoifahamu. Ila ninaamini nitampata tu. Richard Mushi ni mtaratibu sana si mwongeaji sana kwa hiyo hata kwenye vijiwe si rahisi sana kumpata. Ni mchumi wa ukweli.
 
Nadhani ingekuwa jambo la busara kama ungeenda Chibuku ukaomba kuonana na afisa mahusiano akupe walau email yake tuu kipindi yuko hapo inawezekana ikawa nipahal pakuanzia. Ila ujipange sawasawa kujibu maswali maana inaweza kuwa viu pia kutoa awani za watu siunajua mjini matapeli wengi

Mkuu asante kwa mchango wako mzuri. Kweli niliporudi Dar break ya kwanza ilikuwa ni Kibuku. Kumbe kule alishaondoka muda mrefu sana na hakuna aliyekuwa na contact zake tena. Akatokea jamaa akanipa namba yake ya zamani ila ikawa haipatikani tena na kwa muda nilipoipiga ikawa ina mtu mwingine, meaning atakuwa aliicha kuitumia. Anyway, hoping nitampata maana nashukuru members wanao hata ka detail kidogo wanasaidia.
 
asante mkuu nivea. Sifahamu jina lake la katikakati maana sikusoma naye tulikutana tu mtaani akiwa kibuku na alikuwa rafiki mwema sana kwangu. Nikahama nikamwacha morogoro ila kwa sasa nimerudi dar na yeye nasikia yuko dar pia. Ila kama ameajiriwa atakuwa mtu wa utawala zaidi kulijo engeneering (i.e planner or accountant maana at some point alisoma pia accounts baada ya b.a economics).
haya ndugu yangu
 
Kisoka wa TRA namfahamu Na Otaru wa Foreign namfamu. Ngoja nikutafutie namba zao. Pia RM namfahamu ila Ni injinia
 
Back
Top Bottom