Nadhani alikwenda marekani kusoma kwenye miaka ya 2000 mwanzoni au tisini mwishoni...kwa sasa anafundisha huko huko marekani ila sijui ni chuo/jimbo gani...nadodosa nitakurudia...ni mtu ambaye yuko kwenye late 40's au 50's hivi. ...au sioWakuu so far sijafanikiwa kupata ofc anayofanyia kazi Richard Mushi au hata mawasiliano yake ya simu. Ninazidi kuomba kwenu wale ambao hata mnafahamu ofcn kwake nipeni taarifa tu. Asanteni sana.
mimi namjua .>>>>richard john mushi wa adec engineering consultants co.limitedhabari zenu wakuu,
ninamtafuta richard mushi mchaga wa kibosho. Alisoma degree ya uchumi chuo kikuu cha dar es salaam na kuhitimu mwaka 1996. Baadaye nilikutana naye kikazi akiwa morogoro kwa kampuni ya wasouth waliochukua kibuku brewing. Baadaye alirudi dar es salaam akiwa ameacha kazi kibuku. Nami kwa sasa nimehamia dar kikazi na ninaomba kama kuna wanaomfahamu hapa wanisaidie jinsi ya kumpata anakofanyia kazi kwa sasa au pia mawasiliano ya simu yake(kwa simu tafadhali fanya pm maana nisingependa simu yake ianikwe hapa). Nina amini wapo wengi kutoka kibosho au waliosoma naye humu. Shukrani sana wakuu.
Celestine siku hizi ana hadhi ya Balozi mkuuAsante mkuu, Kisoka alikuwa anafanya kazi TRA mikoani kama nitakuwa nakumbuka ila sikumbuki ni mkoa gani. Sijaelewa kama bado yuko TRA au la. Pia Celestine Mushi nafikiri alikuwa ameajiriwa Foreign na somebody Otaru pia yuko foreign.
Celestine siku hizi ana hadhi ya Balozi mkuu
mimi namjua .>>>>richard john mushi wa adec engineering consultants co.limited
kama ni huyo niambie nikupe namba zake>>>>
Nadhani alikwenda marekani kusoma kwenye miaka ya 2000 mwanzoni au tisini mwishoni...kwa sasa anafundisha huko huko marekani ila sijui ni chuo/jimbo gani...nadodosa nitakurudia...ni mtu ambaye yuko kwenye late 40's au 50's hivi. ...au sio
Nadhani ingekuwa jambo la busara kama ungeenda Chibuku ukaomba kuonana na afisa mahusiano akupe walau email yake tuu kipindi yuko hapo inawezekana ikawa nipahal pakuanzia. Ila ujipange sawasawa kujibu maswali maana inaweza kuwa viu pia kutoa awani za watu siunajua mjini matapeli wengi
haya ndugu yanguasante mkuu nivea. Sifahamu jina lake la katikakati maana sikusoma naye tulikutana tu mtaani akiwa kibuku na alikuwa rafiki mwema sana kwangu. Nikahama nikamwacha morogoro ila kwa sasa nimerudi dar na yeye nasikia yuko dar pia. Ila kama ameajiriwa atakuwa mtu wa utawala zaidi kulijo engeneering (i.e planner or accountant maana at some point alisoma pia accounts baada ya b.a economics).
Ulimpata.?!Asante sana kwa msaada wa number za karibu mkuu wangu. Nitawatafuta.