Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naamini hiyo 10M umeipata kwenye mishemishe zako, hujaiokota ama kuchukua mkopo.
Sasa kwa nn usiendelee kupiga hizo mishe ziendelee kukuingizia 10M?
Unforgetable
Kigoma nunua mawese na kuuza, au nenda mwanga ufungue duka la vitenge! Au nenda sido ununue mise na kuzisaga uuze mafuta na utengeneze sabuni au nunua ng'ombe wa maziwa ufuge! Happy kigoma maziwa yana demand kubwa sana na wafugaji ni wachache!asanteKwahiyo kama ameipata kwenye kamari aendelee kucheza kamari maisha yake yote!ushauri wa kimama
NimekusomaKigoma nunua mawese na kuuza, au nenda mwanga ufungue duka la vitenge! Au nenda sido ununue mise na kuzisaga uuze mafuta na utengeneze sabuni au nunua ng'ombe wa maziwa ufuge! Happy kigoma maziwa yana demand kubwa sana na wafugaji ni wachache!asante
Naamini hiyo 10M umeipata kwenye mishemishe zako, hujaiokota ama kuchukua mkopo.
Sasa kwa nn usiendelee kupiga hizo mishe ziendelee kukuingizia 10M?
Unforgetable