Ninamtaka ila Naogopa!

Ninamtaka ila Naogopa!

Kaka Kiiza eti ukimkuta mkeo naye anachakachuliwa na mwanaume mwingine utareact vipi? Utajisikiaje? Kindly reply
 
Ama kweli hisia za ngono zikipanda watu hujisahau sana!! Kwahiyo hata mkeo ni wako ukiwa nae tu??? Kaka Kiiza hebu jiweke kenye position ya huyo mume wa mdada unayemmaindi mwache mwenzio ale vyake kihalali peke yake na si kumchachua mwenzio duh!!
 
plese, umeshauriwa sana na wanajamii, wengi wana mtazamo unaofanana, kama umeoa tulia na famili yako!! unachokonoa chokonoa nini tena kwa wengine. Hii ni tafsiri sahihi ya kuvaliwa na mahaba usoni!! kumbuka utakapo haribu uatabaki mwenyewe wala waliokushauri hawatakuwepo tena, baba tulia!!!
 
huyo ni shetani tu amekutawala anataka kuvuruga mahusiano yenu kama dada na kaka. Hebu jaribu kuushinda huo udhaifu. Wazuri ni wengi na wanazaliwa kila siku. Utabadilisha wangapi?

ee kuwa na mahusiano kumbe ni ushetani, ee au sijaelewa? Huo ni udhaifu au urijali jamani, kumbe ana mtu tayari? Mmmh
 
Back
Top Bottom