Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Anastahili kabisa kuongoza Taifa hili Mpaka Achoke Mwenyewe na kuomba kupumzika.Eti aongoze mpaka achoke mwenyewe 😂 😂 😆
Unamuamini muuaji?Ndugu zangu Watanzania,
Kiukweli ninamuamini na kumkubali sana Rais Samia . Ni kiongozi Ambaye naamini ni mtu sahihi kuendelea kuliongoza Taifa letu. Nina Mwamini kuliko Mtu mwingine yeyote yule. Sina wasiwasi wa aina yoyote ile na Rais Samia. Hadi Natamani aendelee kuongoza Mpaka Achoke Mwenyewe.
Hii ni kutokana na uchapakazi wake , uzalendo wake , unyenyekevu wake na juhudi zake kubwa katika ujenzi wa Taifa letu. Embu angalieni namna miradi ya maendeleo inavyoendelea kuchipuka na kufanyika kila kona ya Nchi yetu.
Bajeti za maendeleo katika kila wizara zinaongezeka kila Uchao. Huduma za kijamii zinaboreshwa na kusogezwa karibu na wananchi kila Uchao. Pesa zinaendelea kuwafikia wananchi kupitia miradi na shughuli za ujenzi ambao umekuwa ukifanyika kila sehemu hapa Nchini.
Kwa hakika wakati huu wa Rais Samia kila mtu anakwenda kuinuka kiuchumi ,kutimiza ndoto zake na kufikia malengo yake. Ni wakati huu wa uongozi wake ambao Taifa linakwenda kushuhudia ukuaji wa uchumi wa kasi na wenye Kugusa Maisha ya Watu na Taifa zima kwa ujumla wake.
Hakuna atakaye achwa nyuma ama kusahaulika. Kila mmoja atafikiwa na kuguswa na maendeleo Ya Rais Samia. Mungu ambariki sana Rais wetu na aendelee kumjalia Maisha marefu yenye heri na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3563501View attachment 3563502
Huna adabu. Mbona wewe hujauwawaUnamuamini muuaji?
Huyu ni rais wa bahati mbaya, nchi hii ni kubwa sana haistahili kuongozwa na aliyeshindwa form 4!.Anastahili kabisa kuongoza Taifa hili Mpaka Achoke Mwenyewe na kuomba kupumzika.
Kwa hiyo kama yeye huwa hapandi daladala anatumia private cars you mean hakuna watu wanaopanda madaladala?Huna adabu. Mbona wewe hujauwawa
Jibu swali na siyo kuruka ruka hapa kama chiziKwa hiyo kama yeye huwa hapandi daladala anatumia private cars you mean hakuna watu wanaopanda madaladala?
You've used a very stupid comparison.
Are you really that stupid? Kaua roughly 10,000 innocent civilians na nchi ina population ya around 68 million, can't you do that simple mathematics kwamba katika waliobaki na yeye yupo? No wonder unatumika katika uchawa, zero intelligence, zero logic, zero common sense and zero reasoning capabilities.Jibu swali na siyo kuruka ruka hapa kama chizi
Ndugu zangu Watanzania,