Ninamuhitaji mwanaume (hiv+)


Mungu atazijibu dua zako, na naamini utampata umtakaye.
 


mungu akutie nguvu, na nina imani watu wenye satatus na nia kama hiyo watajitokeza kwa dhati. Be blessed
 
Pole sana mama Huwa kuna maambukizi mapya hii sijui huwa imekaaje yaani mtu mweny hiv + akitembea na mtu mwenye hiv + anaweza akapata maambukizi mapya hali yake ikawa mbaya zaidi
 
Duh!! mwili wangu wote ushakufa ganzi, ila Mama we Shujaa...nakuombea hitaji lako litimie
 
Inamaana hamna mwenye hizo sifa humu? Mbona hajitokezi hata mmoja? Mimi nimekosa kigezo cha umri.

Ushauri: Tuwe na utaratibu wa kucheki afya zetu kama Sweet Juma.

Watakuwa wameshamtumia PM!! This is a very serious matter, sidhani kama kuna interested person anayeweza kumjibu kwenye comments hapa, he wouldn't sound any serious.


Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Chakushangaza kiko wapi hapo mkuu!

Na wawezakuta hajawahi hata mara moja kwenda kucheki afya yake alafu ana"point a finger" on sm1!


Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Sasa miaka 48,tena mwanamke bado tu unahitaji kuolewa,mbona kama miaka emeenda sana?

We wa wapi?
Yule Bibi Mbunge wa miaka 60 aliyefunga ndoa kwa Mchungaji Rwakatare ulisikia anavyoililia dudu ya yle dogo wa 26 years, sasa huyu wa 48 Years bichi kabisa kwa nini asihitaji?
 
 
Hivi kwa mfano ukimpata mwanaume mwenye umri huo lakini hajaathirika si mnaweza kuoana na kuishi vizuri bila kumwambukiza mwenzako?
 
ulikuwa na mume, alivyokuwa haeleweki ukapata mchumba ambaye mngefunga naye ndoa, sasa ndoa ya ngapi? kwa ushauri umri huo usitafute stress; kwa tz mwanaume wa miaka 55 ni mzee huoni kwamba utakuwa umejiongezea majukumu?
55 ana uzee gani? Kikwete ana >65 na bado anajiita kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…