Ninamuhitaji mwanaume (hiv+)

Ninamuhitaji mwanaume (hiv+)

Salam wana JF. Mimi ni mwanamke mwenye umri miaka 48 ambaye naishi na VVU natafuta mwanaume wa kuishi nae au kufunga ndoa, kama yupo tayari. Awe na umri kuanzia miaka 50-55, kwa ufupi nilikuwa na mume ambae nilimuamini na kumpenda sana yeye ni mfanyabiashara nje na ndani ya nchi baada ya miaka 4 alianza mabadiliko ya kutowasiliana tena na mimi. Mwaka uliofuta nilipata mchumba na tulihitaji kufunga ndoa nikaona niende ANGAZA kuangalia afya yangu lakini haikuwa siku nzuri kwangu kwani nilijikuta nimeshapata maambukizo sikuwa na jinsi. Nilimuomba Mungu katika sala zangu anisaidie na kunitia nguvu katika maisha yangu ya upweke. Kwa vile nimezoea kuwa na mwenzangu kuishi peke yangu ni vigumu kwangu, nami naomba kujitokeza mimi nipo katika ukweli (serious) na tutalindana.

Mungu atazijibu dua zako, na naamini utampata umtakaye.
 
mungu akutie nguvu, na nina imani watu wenye satatus na nia kama hiyo watajitokeza kwa dhati. Be blessed
 
Pole sana mama Huwa kuna maambukizi mapya hii sijui huwa imekaaje yaani mtu mweny hiv + akitembea na mtu mwenye hiv + anaweza akapata maambukizi mapya hali yake ikawa mbaya zaidi
 
Duh!! mwili wangu wote ushakufa ganzi, ila Mama we Shujaa...nakuombea hitaji lako litimie
 
Inamaana hamna mwenye hizo sifa humu? Mbona hajitokezi hata mmoja? Mimi nimekosa kigezo cha umri.

Ushauri: Tuwe na utaratibu wa kucheki afya zetu kama Sweet Juma.

Watakuwa wameshamtumia PM!! This is a very serious matter, sidhani kama kuna interested person anayeweza kumjibu kwenye comments hapa, he wouldn't sound any serious.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Sasa miaka 48,tena mwanamke bado tu unahitaji kuolewa,mbona kama miaka emeenda sana?

We wa wapi?
Yule Bibi Mbunge wa miaka 60 aliyefunga ndoa kwa Mchungaji Rwakatare ulisikia anavyoililia dudu ya yle dogo wa 26 years, sasa huyu wa 48 Years bichi kabisa kwa nini asihitaji?
 
Salam wana JF. Mimi ni mwanamke mwenye umri miaka 48 ambaye naishi na VVU natafuta mwanaume wa kuishi nae au kufunga ndoa, kama yupo tayari. Awe na umri kuanzia miaka 50-55, kwa ufupi nilikuwa na mume ambae nilimuamini na kumpenda sana yeye ni mfanyabiashara nje na ndani ya nchi baada ya miaka 4 alianza mabadiliko ya kutowasiliana tena na mimi. Mwaka uliofuta nilipata mchumba na tulihitaji kufunga ndoa nikaona niende ANGAZA kuangalia afya yangu lakini haikuwa siku nzuri kwangu kwani nilijikuta nimeshapata maambukizo sikuwa na jinsi. Nilimuomba Mungu katika sala zangu anisaidie na kunitia nguvu katika maisha yangu ya upweke. Kwa vile nimezoea kuwa na mwenzangu kuishi peke yangu ni vigumu kwangu, nami naomba kujitokeza mimi nipo katika ukweli (serious) na tutalindana.[/QUOTEyani nilitegemea kuwa unatafuta mtu wa kukupa mawazo labda ya biashara kumbe ni unatafuta mwanamume huuu ni ushauri tu ukinuna shauri yako
  1. wewe ni saizi sawa unauwezo wa kuishi kama wanadamu wengine lakini achana kabisa maswala ya wanaume unatakiwa kutafuta hela ya hali na juu ili mungu akikuchukua mbele ya haki watoto uwaache na hali nzuri zaidi
  2. usiwaze wanaume na ukimpata tegemea kuwa na mawazo kwa sababu wanaume wa siku hizi ni pasua kichwa tu kwa hiyo unaweza kupunguza siku zako
  3. umri ulionao huo nikwamba hauna haja ya kuwaza mambo hayo labda wewe ni malaya kabisa umri huo mwanamume wa nini hebu tuambie ukimpata wa nini na kama tendo la ndoa wewe ni noma umri wa 48
 
Hivi kwa mfano ukimpata mwanaume mwenye umri huo lakini hajaathirika si mnaweza kuoana na kuishi vizuri bila kumwambukiza mwenzako?
 
ulikuwa na mume, alivyokuwa haeleweki ukapata mchumba ambaye mngefunga naye ndoa, sasa ndoa ya ngapi? kwa ushauri umri huo usitafute stress; kwa tz mwanaume wa miaka 55 ni mzee huoni kwamba utakuwa umejiongezea majukumu?
55 ana uzee gani? Kikwete ana >65 na bado anajiita kijana
 
Back
Top Bottom