Ninamuhitaji mwanaume (hiv+)

Ninamuhitaji mwanaume (hiv+)

ulikuwa na mume, alivyokuwa haeleweki ukapata mchumba ambaye mngefunga naye ndoa, sasa ndoa ya ngapi? kwa ushauri umri huo usitafute stress; kwa tz mwanaume wa miaka 55 ni mzee huoni kwamba utakuwa umejiongezea majukumu?
 
Kila la kheri Sweety juma, naamini Mola wetu sote atakujaalia na kuutuliza moyo wako!

Hongera pia kwa ujasiri, maana hatua uliyochukua ni ya kijasiri sana.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Nimeumia sana, Mungu atujalie Hofu ya kuzidi Kuwa waaminifu ktk ndoa,

Pole dada Mungu awe upande wako, nimeona hata JF umejiunga mahususi kwa Hilo.

jitahidi pia kuishi kwa kufuata mashart ya clinic, kwani unaweza kufika hata 70+yrs ukatuzidi na sisi tu sio cheki Afya.
 
Wa PM wote wenye avatar za me humu JF ujieleze, vinginevyo hajitokezi mtu ng'o
 
All the best my mama....but take it easy nothing to worry in this world God is with you all the time.
 
Salam wana JF. Mimi ni mwanamke mwenye umri miaka 48 ambaye naishi na VVU natafuta mwanaume wa kuishi nae au kufunga ndoa, kama yupo tayari. Awe na umri kuanzia miaka 50-55, kwa ufupi nilikuwa na mume ambae nilimuamini na kumpenda sana yeye ni mfanyabiashara nje na ndani ya nchi baada ya miaka 4 alianza mabadiliko ya kutowasiliana tena na mimi. Mwaka uliofuta nilipata mchumba na tulihitaji kufunga ndoa nikaona niende ANGAZA kuangalia afya yangu lakini haikuwa siku nzuri kwangu kwani nilijikuta nimeshapata maambukizo sikuwa na jinsi. Nilimuomba Mungu katika sala zangu anisaidie na kunitia nguvu katika maisha yangu ya upweke. Kwa vile nimezoea kuwa na mwenzangu kuishi peke yangu ni vigumu kwangu, nami naomba kujitokeza mimi nipo katika ukweli (serious) na tutalindana.

samahani naomba kuuliza,yule mume wa kwanza uliyekuwa nae(mfanyabiashara)yuko wapi kwa sasa?
 
Kila la khery mamito allah akuitikie duka zako!pole sana kwa upweke!japo ungeweka wazi na vitu vingine kama vile dini au watoto labda uko wapi unafanya nini vingesaidia pia!
 
Pole kwa yote this is the way of life ,chamsingi kula vizuri na pumzisha mwili wako kumtafuta hiv+ inaweza kuwa poa lakin ikawa tatizo coz anaweza kukuletea mambukizi mapya.najua uko (sireous) huwezi ku cheat hiv pole sana.god wishes u
 
Very touchin and sad story mwanyazi mungu akutangulie katika kila jambo
 
Inamaana hamna mwenye hizo sifa humu? Mbona hajitokezi hata mmoja? Mimi nimekosa kigezo cha umri.

Ushauri: Tuwe na utaratibu wa kucheki afya zetu kama Sweet Juma.

so kumbe wewe ni HIV+ ??????
lol!
 
Vp nafasi imejaa? Nataka niombe na mimi.
 
Pole sana kwa yaliokutokea , ni magumu lakini Mungu akutetee, na kwa kua Kwa Mungu hakuna lisilo wezekana, mtumainie yeye atakupa majibu ya mahitaji yako,
 
Back
Top Bottom