Ninani mwenzangu basi njoo tujenge familia

Ninani mwenzangu basi njoo tujenge familia

masanzu

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Posts
605
Reaction score
217
namhitaji mdada mzuri mwenye tabia njema umri 25-30 mwenye utayari wa kuolewa asiwe mlevi,mbea,mchawi,awe mkristo
 
^^
Ha ha Huyo mchawi atajisema?
Kila la kheri lakini
^^
 
Ubaguzi huo wa dini...haya mimi napita
 
^^
Ha ha Huyo mchawi atajisema?
Kila la kheri lakini
^^
hahahaha kazi kweli . Sijui kama kuna mwenye tabia mbaya hapo manake cv itakua na sifa zote sasa sijui atahakiki vipi tu.
 
Duh!


Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom