Ninanunua Gallstone (Mawe ya kwenye Nyongo ua Ng'ombe)

presider

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
1,320
Reaction score
1,738
Ninanunua Mawe ya kwenye Nyongo ya ngombe. Kwa bei ya 35,000 mpaka 38,000 kwa gram. Yakiwa yamekauka. Kama unayo au kuna mtu anayo njoo pm.
 
Yanafanya kazi gani Yale mawe?
 
Sasa mkuu Kama ni malaini Sana, unawezaje kulikausha!? Na linatokaje kwenye bladder au kongosho wakati ndani ya vitu hivyo Kuna majimaji?
Swali zuri sana. Ulain wake co kama ujiuji bali lipo kama yale mawe anayopukutika. Hii jiwe linatoka baada ya kupasua Nyongo wakati ngombe kachinjwa
 
Sasa mkuu Kama ni malaini Sana, unawezaje kulikausha!? Na linatokaje kwenye bladder au kongosho wakati ndani ya vitu hivyo Kuna majimaji?
Swalitamu sana limekaa kitaalamu nitasaidia kujibu kikemia.Mawe ya nyongo ni alkaline in nature na kemikali za nyongo ni alkaline in nature sio rahisi ziyeyushe mwenzao maana kitu ni kile kile.Maji yanayeyusha haya mawe vile ni tofauti na maji ni universal solvent kwa vitu karibu vyote duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninanunua Mawe ya kwenye Nyongo ya ngombe. Kwa bei ya 35,000 mpaka 38,000 kwa gram. Yakiwa yamekauka. Kama unayo au kuna mtu anayo njoo pm.
Halafu tambua mawe kwenye nyongo ni tatizo la kiafya na moja ya visababishi vya mawe hayo ni minyoo ya kwenye maini iitwayo "liverflukes".Kwa hiyo unatamani ng'ombe waugue ili utengeneze pesa?
 
Swalitamu sana limekaa kitaalamu nitasaidia kujibu kikemia.Mawe ya nyongo ni alkaline in nature na kemikali za nyongo ni alkaline in nature sio rahisi ziyeyushe mwenzao maana kitu ni kile kile.Maji yanayeyusha haya mawe vile ni tofauti na maji ni universal solvent kwa vitu karibu vyote duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran Sana mwalimu! Salute [emoji3]
 
Nanua gallstones zinakua kwenye nyongo ya ng’ombe gram moja 30000. Robo kilo million 6. Nusu kilo million 12 kilo moja million 24
 
Back
Top Bottom