Ninanunua Gallstone (Mawe ya kwenye Nyongo ua Ng'ombe)

Ninanunua Gallstone (Mawe ya kwenye Nyongo ua Ng'ombe)

Nanua gallstones zinakua kwenye nyongo ya ng’ombe gram moja 30000. Robo kilo million 6. Nusu kilo million 12 kilo moja million 24

Ng'ombe watakuja kuadimika sasa!!

Nilikutana na mwingine ye ananunua viboro vya ng'ombe vilivyokaushwa! Nikabaki haaaah!!
 
Mambo vip naweza kupata namba ako Kuna kitu nataka kujua kuhusu ayo mawe yanoyo patikana kwenye nyongo
 
Back
Top Bottom