Ninaoga, najisugua lakini mwili bado unatoa uchafu

Ninaoga, najisugua lakini mwili bado unatoa uchafu

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,527
Reaction score
3,811
Wakuu,

Yaani ninaoga najisugua vizuri lakini nikipitisha mkono bado naona kuna vile vi uchafu vinatoka.

Ni sabuni gani nzuri ya kuogea ambayo inaweza kuondoa uchafu wote?

Naombeni ushauri wanabodi
 
You have a layer of dead skin cells. Nunua kopo la scrub ujipige scrub mwili mzima.
 
Unaonesha ulikua mzembe wa kuoga!!! Piga maji mara kwa mara
 
Acha kuogea Maji ya Mvua...

Ila yawezekana una magonjwa ya Ngozi Anza kujipaka Mafuta ya Break kwa siku kadhaa and then acha...
 
Back
Top Bottom