Ninaoga, najisugua lakini mwili bado unatoa uchafu

Ninaoga, najisugua lakini mwili bado unatoa uchafu

Pole ndugu. Usafi si kuoga tu, usafi pia ni chakula unachokula.

Asilimia kubwa ya uchafu wa mwilini unatoka ndani ya mwili.
Anza kwa kula vyakula bora na maji ya kunywa mengi.

So akikisha unakunya maji ya kutosha, oga kila siku na usioge zaidi ya mara 3 kwa siku maana utaondoa layer muhimu ya mwili inayokulinda dhidi ya bacteria, vile vile usijisugue na dodoki au kitu kigumu, unaharibu ngozi.

Kama unaoga mara kwa mara na unakunywa maji vizuri, hata sponge linatosha.

Kwa sabuni, napendekeza shower gels kama za Nivea. Ila ni vizuri ukaanza na sabuni ya kawaida then malizia na shower gel maana kama mwili wako una mafuta, shower gel haikolei vizuri, utajikuta unamaliza kopo la shower gel in a week.
 
Back
Top Bottom