BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Tumia dodoki la kienyeji.Wakuu,
Yaani ninaoga najisugua vizuri lakini nikipitisha mkono bado naona kuna vile vi uchafu vinatoka.
Ni sabuni gani nzuri ya kuogea ambayo inaweza kuondoa uchafu wote?
Naombeni ushauri wanabodi
Duhhhh.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]labda usuguliwe utapata nafuu
Akimaliza aongeze na jiki [emoji1] [emoji1]Tumia sabuni ya Unga
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Acha kuogea Maji ya Mvua...
Ila yawezekana una magonjwa ya Ngozi Anza kujipaka Mafuta ya Break kwa siku kadhaa and then acha...
Hayo mambo ya scrub si kwa ajili ya wanawake mkuu? AuYou have a layer of dead skin cells. Nunua kopo la scrub ujipige scrub mwili mzima.
Dah,we jamaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]udogon ulilishwa ngozi ya fisi...ukisikia malipo ndio hapa hapa dunian...ndio kama hivyo.
Dah,we jamaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]udogon ulilishwa ngozi ya fisi...ukisikia malipo ndio hapa hapa dunian...ndio kama hivyo.
Hapana. Hii ni kwa wote wenye mwili...Hayo mambo ya scrub si kwa ajili ya wanawake mkuu? Au