Kwanini hizo zote hazikuweza kuwashwishi wenye madaraka kuunda Muungano wa Seriali 3..kila tume iliyoundwa kuangazia muungano wetu imekuja na pendekezo la serikali 3.
Kwanini hizo zote hazikuweza kuwashwishi wenye madaraka kuunda Muungano wa Seriali 3
Huu muungano hauna maana.Majibu ya Tundu Antipas Lissu kwa Wakuli Msomi Fatma Karume mjukuu wa muasisi wa Muungano yamenitisha lakini naogopa zaidi kama Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud na msaidizi wake Ismail Jussa wataamua kujibu Mapigo
Kilichonitisha ni kifungu cha Katiba ya Zanzibar kinachosema "Tanzania INATOKANA na muungano wa Nchi mbili"
Tundu Lissu amepigia mstari Neno "inatokana" na akauliza hiyo Nchi ya pili ni ipi?
Tuzidi kumuomba Mungu wa mbinguni aulinde Muungano Wetu!
Hatuutaki muungano!!Huko United Kingdom, Scotland inatamani ijiondoe kwenye Muungano lakini wanakataliwa. Wales na Ireland pia wanajiona wanahitaji kuwa sovereign lakini hawajarusiwa kuwa independent.
USA zile states 51 ziliunganishwa kwa civil wars miaka ya 1700. Kwa nini wasiziache ziwe pekee?
Russia leo inapigana na Ukraine kutetea wananachi wa Ukraine wenye asili ya Russia kwenye majimbo ya Luhansk na Donestk, yote ni kujiimarisha.
Akina Tundu Lissu au Jussa ni wachache kuliko wengi wanaopenda Muungano.
Mfumo aliouweka Nyerere ulikuwa na faida zake na hasara zake. Kikubwa ni kuzipima tu whether hasara ni kubwa kuliko faida
Ndani ya katiba pendekezwa kuna muungano wa serikali tatu?..hapana.
..Samuel Sitta, Samia Suluhu, na Andrew Chenge, waliongoza kazi ya kuandika Katiba pendekezwa.
..Na Rais Kikwete alikabidhiwa Katiba pendekezwa kama hitimisho la kazi ya bunge maalum la katiba.
..sasa tujiulize, Katiba pendekezwa iko wapi? Je, ukawa ndio wameficha katiba pendekezwa?
Jisemee nafsi yako peke yako. Kuna tunaoutaka muunganoHatuutaki muungano!!
Hao wananchi wengi unaowaongelea hapa wanaopenda huu Muungano umewapata wapi au kwa takwimu gani? Kwa upande wa Tanganyika hakuna mwananchi wa kawaida anayeweza kueleza faida ama binafsi au ya kitaifa inayomnufaisha yeye zaidi ya viongozi na chama cha tawala. Huko zanzibz ndiko usithubutu kuuliza faida kwao hawataki kabisa.Huko United Kingdom, Scotland inatamani ijiondoe kwenye Muungano lakini wanakataliwa. Wales na Ireland pia wanajiona wanahitaji kuwa sovereign lakini hawajarusiwa kuwa independent.
USA zile states 51 ziliunganishwa kwa civil wars miaka ya 1700. Kwa nini wasiziache ziwe pekee?
Russia leo inapigana na Ukraine kutetea wananachi wa Ukraine wenye asili ya Russia kwenye majimbo ya Luhansk na Donestk, yote ni kujiimarisha.
Akina Tundu Lissu au Jussa ni wachache kuliko wengi wanaopenda Muungano.
Mfumo aliouweka Nyerere ulikuwa na faida zake na hasara zake. Kikubwa ni kuzipima tu whether hasara ni kubwa kuliko faida
Ndani ya katiba pendekezwa kuna muungano wa serikali tatu?
Lissu analilia Mzanzibar kuuza Tanganyika kwa Mwarabu sheh 😳Sasa Lisu analia Lia nini Mheshimiwa?
Siasa zetu zina ujinga, uongo, ujuha, upumbavu na mengine yanayofanana na hayo. Tunajenga jamii na taifa la namna gani?..kuna serikali 2.
..ni dhana potofu kusema Ukawa walikwamisha mchakato wa katiba.
..ukawa hawakuwa na wajumbe wa kutosha ktk bunge maalum kuweza kukwamisha mchakato.
..vikao vya bunge maalum viliendelea mpaka zoezi la kuandika katiba pendekezwa lilipokamilika.
..inastaajabisha kwamba Ccm wameachana na katiba pendekezwa ambayo waliiunga mkono.
Muungano unaolindwa na viongoz wachache wa ccm utakufa tu one day,huu muungano ni fake na haujawah kupata baraka za wananchi kupitia kura ya maoni,ni muungano wa Nyerere na KarumeMuungano haufi ila watu waachwe waujadili kwa kina, hayo machache tu aliyoyaibua Lissu yamewaamsha wengi - yaani ni kama kachoma kuni mbichi ndani ya shimo..
umejuaje kama alishindwa kumshauri Mwenyekiti? Mtu akishauriwa anaweza kuupokea ushauri au la, kwa hivyo hiyo imebaki kama ni theory tu, na hasa kwamba uamuzi siyo wa mtu mmoja peke yake hata kama alikuwa Waziri...alishindwa kumshauri Mwenyekiti wa chama chake, na Raisi, kuhusu namna bora ya kutatua kero za muungano.
..pia tangu 2021 amekuwa Mwenyekiti wa chama, Raisi, na Amiri Jeshi Mkuu, na ameshindwa kuyapatia ufumbuzi masuala yanayolalamikiwa.
..kwa kifupi Samia yuko pale kwa maslahi BINAFSI, na si kwa maslahi ya Waznz, Watgk, au muungano.
Sio heshima ni kitu Cha bure, sema uoga ni kitu Cha bure.Bwashee Heshima ni kitu Cha bure
Jibu sasa wewe hapoMajibu ya Tundu Antipas Lissu kwa Wakuli Msomi Fatma Karume mjukuu wa muasisi wa Muungano yamenitisha lakini naogopa zaidi kama Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud na msaidizi wake Ismail Jussa wataamua kujibu Mapigo
Kilichonitisha ni kifungu cha Katiba ya Zanzibar kinachosema "Tanzania INATOKANA na muungano wa Nchi mbili"
Tundu Lissu amepigia mstari Neno "inatokana" na akauliza hiyo Nchi ya pili ni ipi?
Tuzidi kumuomba Mungu wa mbinguni aulinde Muungano Wetu!
Upo sahihi kabisa..Tanganyika lazima arudi.
..Kikwete alijaza wafuasi wa Mwalimu Nyerere ktk Tume ya Warioba, lakini bado ilishindikana kuzima hoja ya Tanganyika, na muungano wa serikali 3.
Yeye mwenyewe hajui anafanya nini na anatakiwa kufanya nini..kama matatizo na kero ktk muungano wetu zimeshindwa kutatuliwa kwa muda mrefu sababu itakuwa ni uzembe wa Samia Suluhu Hassan.
..kwa muda mrefu alihudumu ktk ofisi ya Makamu wa Rais kama Waziri mwenye dhamana ya masuala ya muungano.
..baada ya hapo Samia Saluhu amekuwa Makamu na sasa ni Raisi. Haiwezekani ktk nafasi zote hizo ashindwe kutupatia uteuzi wa changamoto za muungano.
..Nadiriki kusema Samia ni MZEMBE.
Uvunjwe haraka sn hatuutakiHuo muungano ni wa viongozi wa ccm. Hauna chochote cha maana kwa wananchi wa kawaida
dawa ni kuvunja huu muungano fakeMuungano wetu bado utatusumbua sana kwa muda mrefu. Ni bora kero hizi zote zingepatiwa ufumbuzi wa kudumu na zikaisha kabisa ili maisha yaendelee bila mikwaruzano [emoji102]
Huo muungano ni wa viongozi wa ccm. Hauna chochote cha maana kwa wananchi wa kawaida
Hakika.... Ili panapovuja paonekane chapu kwa haraka...Acha inyeshe.....