Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,648
- 6,693
Ahsante brotherMungu akutangulie,muombe yeye na atafanya njia.
Kama unaweza kufuata maelekezo vizuri nicheki angalau nitasaidiaHabarini za mchana ndugu zangu mi ni kijana wa miaka 24.
Na nilikuwa nina malengo makubwa sana kimaisha ila ndoto zangu zilikuja kufifia baada ya baba yangu mzazi ambae ndio alikuwa kila kitu katika familia yangu kufariki nikiwa form 3.
Kitu ambacho kilikuja kufanya niache shule kutokana na ukosefu wa pesa maana mama yupo tu nyumbani hana kazi yoyote.
Nilijitahidi kufanya vibarua na shughuli ndogo ndogo nikaweza walau kujilipia ada ya ufundi wa simu pamoja na compyuter repair pale dit japo kwa nusu coz but mambo tena yakaniendea vibaya ikanidi nisitishe masomo.
Hivyo bac nimekuja kwa moyo mkunjufu ndugu zangu kuomba ajira yoyote iliyohalali inayoweza kupatika ili niendelee pale nilipoishia ukizigatia mama yangu pia ananitegemea namimi ndio hivi bado sina muelekeo.
Najua humu tupo watu tofauti tofauti hivyo naamini hapa nisehem sahihi nayoweza kupata msaada maana hapa jf sisi ni familia moja.
Ansanteni pia karibuni kwa ushauri na maoni mbali mbali.
Nikuchek wapi mkuu pm auKama unaweza kufuata maelekezo vizuri nicheki angalau nitasaidia
Nimekusoma mkuu barikiwaMbinu mmojawapo katika kuomba ajira ,nikutokutanguliza shida/matatizo binafsi kama ulivyofanya,waajiri nao ni Binadamu wenye malengo Yao kwa wanaye muajiri,kwa hiyo ukitanguliza Mikasa Sana wanaona siyo sahihi Kwao..Watakukwepa..Mbinu Yako inaweza fanikiwa Makanisani huko kwa watoa shuhuda labda..CV ya utendaji kazi ndiyo kila kitu Mkuu..Mwajiri akitaka CV za Shida/ Mateso ni balaa.
Ok naomba nikuulize pia hakuna kitengo cha Huduma ya kwanza labda mkawa mnahitaji mtu wa Afyakama upo dar es salaam....kama unaweza kupata cheti cha darasa la saba...cheti cha kuzaliwa...kitambulisho cha nida...pamoja na wadhamini wawili...njoo gardaworld tunapatikana mikocheni b...kituo kinaitwa kwa mwinyi...kazi hii ni ya ulinzi mshahala unaanzia 250k
Nyie nao mtu analeta vyet then mnasema mnataka na leaving certificate ya secondary school sasa mtu anavyet vyote anakosa leaving then mnamrudisha inauma sana kuna mtu ameleta mpaka vyet vya chuo akakosa iyo leaving akarudishwakama upo dar es salaam....kama unaweza kupata cheti cha darasa la saba...cheti cha kuzaliwa...kitambulisho cha nida...pamoja na wadhamini wawili...njoo gardaworld tunapatikana mikocheni b...kituo kinaitwa kwa mwinyi...kazi hii ni ya ulinzi mshahala unaanzia 250k
hapana ila kama unahitajai karibu sana.....ambatanisha cheti chako....lete maombi yako hapa gardaword....ila hakikisha wewe ni mrefu tu...uwe na vyeti halali...cheti cha kuzaliwa, kitambulisho cha nida pamoja na namba ya tin....bila kusahau wadhamini wawili ambao watakuwa teyari kuja kukudhamini...hakuna rushwa...vigezo tu ndivyo vitakavyo kufanya upate kaziOk naomba nikuulize pia hakuna kitengo cha Huduma ya kwanza labda mkawa mnahitaji mtu wa Afya
Nyie nao mtu analeta vyet then mnasema mnataka na leaving certificate ya secondary school sasa mtu anavyet vyote anakosa leaving then mnamrudisha inauma sana kuna mtu ameleta mpaka vyet vya chuo akakosa iyo leaving akarudishwa
Ok shukran ngoja nifanye ivokwanza nimpe pole alie kosa...ila kikubwa naomba nikuibie siri...hivi sasa kutokana na serikali kutaka watu walipwe kulingana na elimu yake...na kutokana na ajira kuwa ngumu watu wengi tumejikuta tukikimbilia kazi za ulinzi...hivyo kampuni kubwa za ulinzi hivi sasa azitoi ajira kwa watu wenye elimu kubwa...tumia cheti cha kidato cha nne kushuka chini...lasivyo yatakupata kama yaliyompata mwenzako
shukran ila ka swal kdg kama na chet ya o-level then leaving certificate sina nishapoteza watakubal kwelhapana ila kama unahitajai karibu sana.....ambatanisha cheti chako....lete maombi yako hapa gardaword....ila hakikisha wewe ni mrefu tu...uwe na vyeti halali...cheti cha kuzaliwa, kitambulisho cha nida pamoja na namba ya tin....bila kusahau wadhamini wawili ambao watakuwa teyari kuja kukudhamini...hakuna rushwa...vigezo tu ndivyo vitakavyo kufanya upate kazi
Habarini za mchana ndugu zangu mi ni kijana wa miaka 24.
Na nilikuwa nina malengo makubwa sana kimaisha ila ndoto zangu zilikuja kufifia baada ya baba yangu mzazi ambae ndio alikuwa kila kitu katika familia yangu kufariki nikiwa form 3.
Kitu ambacho kilikuja kufanya niache shule kutokana na ukosefu wa pesa maana mama yupo tu nyumbani hana kazi yoyote.
Nilijitahidi kufanya vibarua na shughuli ndogo ndogo nikaweza walau kujilipia ada ya ufundi wa simu pamoja na compyuter repair pale dit japo kwa nusu coz but mambo tena yakaniendea vibaya ikanidi nisitishe masomo.
Hivyo bac nimekuja kwa moyo mkunjufu ndugu zangu kuomba ajira yoyote iliyohalali inayoweza kupatika ili niendelee pale nilipoishia ukizigatia mama yangu pia ananitegemea namimi ndio hivi bado sina muelekeo.
Najua humu tupo watu tofauti tofauti hivyo naamini hapa nisehem sahihi nayoweza kupata msaada maana hapa jf sisi ni familia moja.
Ansanteni pia karibuni kwa ushauri na maoni mbali mbali.
Hivi hata hz kampuni za ulinzi nazo zinalipa mtu kulingana na elimu yake..??kwanza nimpe pole alie kosa...ila kikubwa naomba nikuibie siri...hivi sasa kutokana na serikali kutaka watu walipwe kulingana na elimu yake...na kutokana na ajira kuwa ngumu watu wengi tumejikuta tukikimbilia kazi za ulinzi...hivyo kampuni kubwa za ulinzi hivi sasa azitoi ajira kwa watu wenye elimu kubwa...tumia cheti cha kidato cha nne kushuka chini...lasivyo yatakupata kama yaliyompata mwenzako
ndio...kulingana na kitengo na uhitaji wa wataalam wa fani husika...ulinzi ni biashara kama biashara nyinginezo...mlinzi wa diplomatic area awezi kuwa sawa na mlinzi wa kawaidaHivi hata hz kampuni za ulinzi nazo zinalipa mtu kulingana na elimu yake..??
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio...peleka cheti...ondoa uoga...unapo ulizwa kitu jibu kwa ufasaha....kujiamini pia kunaweza kusababisha ukapata nafasi bila kipingamizi....wengi wenu mnakuwa waoga ndio maana mnakosa nafasi....ila jiamini harafu timiza vigezo vingine watakavyokuwa wanavihitajishukran ila ka swal kdg kama na chet ya o-level then leaving certificate sina nishapoteza watakubal kwel
Hapo nimekuelewa vemandio...kulingana na kitengo na uhitaji wa wataalam wa fani husika...ulinzi ni biashara kama biashara nyinginezo...mlinzi wa diplomatic area awezi kuwa sawa na mlinzi wa kawaida