Habari ya leo Wana jf!
Ninaomba anayeifahamu vizuri M-Wekeza ya Vodacom anielimishe kuihusu! Nimejaribu kuwapigia vodacom kwenye namba 100 naona ni maelezo mengine yanayotolewa na hata hakuna fursa ya kuongea na mhudumu.Nimejaribu kuchati nao Whatsapp wala hawajibu!!!