Unapata faida ya around 13 kwa mwaka. Ukiweka laki utapata around 12-13k kwa mwaka. Simple as that. Sawa na buku kwa mweziHabari ya leo Wana jf!Ninaomba anayeifahamu vizuri M wekeza ya vodacom anielimishe kuihusu!Nimejaribu kuwapigia vodacom kwenye namba 100 naona ni maelezo mengine yanayotolewa na hata hakuna fursa ya kuongea na mhudumu.Nimejaribu kuchati nao Whatsapp wala hawajibu!!!
hao hao ulio wakimbia ndo wana majibu sahihi, kama vipi nenda voda shop iliyo karibu na wewe utapata msaada kwa haraka
umewakimbia umekuja huku kutafuta muongozoSijawakimbia ndiyo maana niliwapigia simu Sema hawapokei