Ninaomba kufahamishwa umahiri wa Kocha wa Stars Salum Mayanga kwenye soka la Tanzania

Asante sana Twamo post #15 hapo juu. Wewe ndio umejaribu kutupa picha nzuri kiasi kuhusu Salum Mayanga.

Lakini kwa kuongezea katika mengi uliyosema, huyu ndio kocha mwenye 'mafanikio' zaidi katika miaka ya karibuni kwa makocha wa Taifa Stars. Amewafunika vibaya watangulizi wake Mart Nooij na Boniface Mkwasa ambao wana historia za ajabu mno

1. Mart Nooij aliweka historia kama kocha aliyeiongoza Taifa Stars kufungwa mechi zote za COSAFA na kuondoka bila kufunga hata goli la offside. Ni maarufu kwa kupigwa 3-0 kila mechi

2. Mkwasa alifedhehesha Taifa kwa kupigwa 7-0 dhidi ya Algeria kipigo ambacho hakijawahi kuikumba Tanzania kwa zaidi ya miaka 50. Chini yake Stars ilishindwa kufuzu AFCON na WC.
Asante mkuu! Labda Mayanga hana bahati ya kupendwa tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli ana damu ya kunguni labda kwa sababu takwimu zake haziendani na chuki ya baadhi ya wanazi wa mpira wetu. Halafu ukiangalia nadhani kilichombeba hadi akapata ulaji huu ni kazi nzuri aliyofanya na Prisons ya Mbeya msimu wa 2016/2017
 
Pale kocha hakuna kwa kweli, Ubora wa timu unaanzia kwenye kuita wachezaji, hebu fikiria unamuita Joseph Mahundi kwenye National Team unamuacha Ibrahim Ajibu, lakin pia kwa game na Rwanda sikuona sababu ya Kumtoa Raphael Daud na akamuingiza Hamisi Ndemla....
Mayanga ni kocha anaefundisha Simba kwa kivuli cha Taifa Stars.
 
Anaweka akiba ya ajira hapo Msimbazi..
 
Pale kocha hakuna kwa kweli, Ubora wa timu unaanzia kwenye kuita wachezaji, hebu fikiria unamuita Joseph Mahundi kwenye National Team unamuacha Ibrahim Ajibu, lakin pia kwa game na Rwanda sikuona sababu ya Kumtoa Raphael Daud na akamuingiza Hamisi Ndemla....
Mayanga ni kocha anaefundisha Simba kwa kivuli cha Taifa Stars.

Hakuna kocha yeyote duniani anaweza kuhukumiwa kwa aina ya viwango unavyovitaja. Punguza jazba ufikirie vizuri tena
 
Asichomwe kocha wa Brazil....

Wale wanajua mpira, sio kama sisi mashabiki ndio tunataka kuwa waamuzi wa vitu vya kiufundi. Tunataka watu wawepo timu ya taifa kwa ajili ya kubalance uwakilishi wa timu badala ya kuangalia fomu ya mchezaji
 
Mfumo Wa wachezaji wetu kujifunza na kuelewa mambo in tatizo na hii kutokana na elimu nzima wabayoipata kwenye mashule yetu, tutapata shida sana kulaumu makocha, hatujui nini maana ya kucheza mechi ya kwanza nyumbani na umuhimu wake. Tuna tatizo kubwa la kiisaikolijia hasa kwa mechi za nyumbani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uchaguzi tu wa wachezaji wenyewe unakupa picha ya kocha ana uwezo kiasi gani....Mayanga hastahili kuwa kocha wa timu ya taifa, selection mbovu ya wachezaji, matokeo yake timu inakosa mpango mbadala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wanajua mpira, sio kama sisi mashabiki ndio tunataka kuwa waamuzi wa vitu vya kiufundi. Tunataka watu wawepo timu ya taifa kwa ajili ya kubalance uwakilishi wa timu badala ya kuangalia fomu ya mchezaji
Kwa hiyo John Boko yupo kwenye form kuliko Abdulrahman Musa mfungaji bora eti.....
 
Wewe na Mayanga nani anajua status ya hao wote Bocco na Abdurahman? Hujui kuwa Abdurahman aliitwa pamoja na Mbaraka Yusuph pamoja na Shaaban Idd? Hujui kuwa huyu aliachwa na kwa madai kuwa ni majeruhi? Hujui kama John Bocco aliitwa kwa dharura tu baada ya Mbaraka na Shaban kupata kuumia?

Hata hivyo tukitaka kuwa wakweli matatizo ya Taifa Stars yanasababishwa na uwepo wa John Bocco?
 
Uzuri umejijibu mwenyewe... Mbaraka inajulikana majeruhi na alibaki South Africa.. Abdulrahman umejijibu mwenyewe "aliachwa kwa madai" ni majeruhi haujasema "ameachwa kwa sababu ni majeruhi"... Nafikiri jibu umelipata Hata wewe umesema aliachwa" kwa madai " yeye ni mzima kabisaaaaa .... Afu embu lete hicho kikosi kilichoitwa Abdulrahman akiwepo..... Na source yake iwe gazeti, au sources zozote sio uyaandike wewe hapa
 
Back
Top Bottom