Ninaomba kujua ABC za biashara ya asali

Ninaomba kujua ABC za biashara ya asali

Beige

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2022
Posts
234
Reaction score
515
Habarini ndugu zangu,

Nianaomba mrejee heading hapo juu. Natamani sana kufanya biashara ya asali. Ninaomba wenye uzoefu wanijuze wapi nitapata asali halisi na mambo yapi ya kuzingatia kwenye biashara hii.

Pia nina potential buyers outside the country hivyo mwenye uzoefu pia wa kuexport atakua amenisaidia sana.

Natanguliza shukrani na mbarikiweni nyote
 
Kiongozi kama una buyers naomba tuwasiliane nina asali ya kutosha, tunaweza kufanya kitu sababu mie soko sijapata
 
Back
Top Bottom