Ninaomba kujuzwa

Marcy

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2013
Posts
2,430
Reaction score
5,910
Ninaomba mnifahamishe utaratibu wa unyonyeshaji mtoto kwa mfanyakaz

Inafahamika mfanya kaz amepewa masaa mawili ya kunyonyesha. Je masaa hayo huanza baada ya muda gan wa kaz?? Au unajipangia wew mwenyew?

Pia mfanyakaz amepewa miez kadhaa ya kunyonyesha . je miez hiyo ni mingap toka kumaliza likizo ya uzazi ni 6 au 3??

Mwisho ningependa kujuzwa lile tamko la waziri wa afya kuhusu utaratib wa kunyonyesha kwa mfanyakaz kuingia kazin saa3:30 kutoka saa7:30 limeshaanza kufanya kaz na kuna waraka wowote umetoka kuhusiana na tamko hilo?
Karibun
 
maswali mazuri..
ngoja wahusika waje
 
Unaweza kuchelewa kazini masaa wawili au uwahi kutoka masaa mawili kabla, unachagua mwenyewe kipi bora kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…